comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #61
πππ Ungejua, nakunywa bia kila baada ya miezi 6 au mwaka, baada ya Leo hapa tena mpaka Christmas au pasaka, ishu labda misosi ndio mana silew nimekula kitimoto kilo na ugali ndio nikapiga vituIni lako lishakomaa. Punguza.
You are healthy then.. why get drunk!?πππ Ungejua, nakunywa bia kila baada ya miezi 6 au mwaka, baada ya Leo hapa tena mpaka Christmas au pasaka, ishu labda misosi ndio mana silew nimekula kitimoto kilo na ugali ndio nikapiga vitu
"" Eti matofali"" π€£π€£π€£π€£Mkuu umenifanya nitoe neno
Za kopo hakuna kitu
Zile ndogo za chupa hakuna kitu
Yale makubwaaa matofaliiii Babaaaaa π
Hapa tumepigwa aiseeZile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch
Oya
Acheni hizo basi wazeee
Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
View attachment 3459180
Sasa afya yangu mwenyeweAcheni pombe ni hatari kwa afya zenu na pato lenu
MmepigwajeHapa tumepigwa aisee
SanaUzi wa kilevii huuπ€£π€£
Nawe unatumia hayo makitu lo???!!!
Hapana sweetheart...Nawe unatumia hayo makitu lo???!!!
No situmii iyo kitu labda wine tena isiyoleweshaHapana sweetheart...
Ila ukitaka nakununulia mpaka unagalagala...
Yale Ni Mkong'oto HaswaaMkuu umenifanya nitoe neno
Za kopo hakuna kitu
Zile ndogo za chupa hakuna kitu
Yale makubwaaa matofaliiii Babaaaaa π
Mapenzi mubasharianHapana sweetheart...
Ila ukitaka nakununulia mpaka unagalagala...
Rais wa majoblessDogo upo?