comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #81
Hata takeaway ya castlelite unaweza kunywa 40 unaishia kusafisha UTI tuZile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch
Oya
Acheni hizo basi wazeee
Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
View attachment 3459180
Hizo hata za chupa alcohol ndogo sanaHata takeaway ya castlelite unaweza kunywa 40 unaishia kusafisha UTI tu
Aah napambana na jameson nikiwa sina hela captain morgan kubwa na savana zangu tatu fresh kabisaHizo hata za chupa alcohol ndogo sana
Savana zinashuka chini lakin umeziandalia mazingira?Aah napambana na jameson nikiwa sina hela captain morgan kubwa na savana zangu tatu fresh kabisa
Ongeza nyama imekuajeR.I.P POLEPOLE
MhmmmmmHata takeaway ya castlelite unaweza kunywa 40 unaishia kusafisha UTI tu
AminiMhmmmmm
SawaAmini