Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

Kipo hapahapa Dar es salaam.
Kinazalisha silaha za kisasa.
Inatosha, sina haja kukushawishi maana Mimi silipwi kwa kazi hii
Hakukuwa na haja ya kusema kama hutaki kusema. Kiwanda hakipo.

Yaleyale ya kabla hatujaenda DRC makelele yalikuwa kibao sijui tutawakomesha, niliwaambia hamfanyi kitu kwa M23. Some few weeks later nikaona kamanda wa TPDF kanyoosha mikono anapigwa search wakati wanatoroka kupitia Rwanda. Mnapenda uongo uongo na kujimwambafai wakati uhalisia unakataa.

Jeshi la uongo hili imagine Msemaji aliwahi dai sisi ni jeshi la sita duniani kwa uwezo 😂
 
Polepole alisema adhalani kuwa ili uwe jw lazima uwe na kadi ya ccm. Kwa hiyo kuona jeshi linaporomoka usishangae maana ni jeshi la chama siyo la wananchi kwa kauli Ile ya polepole
 
Kwani huoni kiwanda chetu cha kuzalisha kokoto?
 
Nikiipata hiyo chuma hapo mbele bc mchezo umekwisha
 
Hivi unajua kuwa Tanzania inabkiwanda cha silaha tena sio kimoja,ila hatutangazi?
Kwanini usitangaze. Labda kwa matumizi yetu ya ndani maana kwajinsi tusivyokuwa waaminifu hizo silaha zitakuwa za ubora wa chini sana, au labda mfano Mkorea ndio awe anakiwanda.
Lakini watawala wanaishi kwa manunuzi na 10%.
 
Kwanini usitangaze. Labda kwa matumizi yetu ya ndani maana kwajinsi tusivyokuwa waaminifu hizo silaha zitakuwa za ubora wa chini sana, au labda mfano Mkorea ndio awe anakiwanda.
Lakini watawala wanaishi kwa manunuzi na 10%.
Hivi uliangia ile siku ya majeshi ya nchi jinsi walivyo parade silaha za nchi na maelezo ya kutosha kwa kila silaha tuliyonunua na tuliyotengeneza?
 
Kuna shida ya sewage Kariakoo yote inanuka, na karibu miji yote mikubwa system zake ni kitendawili, Dodoma pale Swaswa Airport road Sewage Plant ipo katikati ya Makazi niyakuondoa, Mwanza Makongoro Road close to New BOT building inatakiwa kuondolewa Mbeya yaani shida tupu. Then hapa mnajadili vifaa vya kuondoa maisha ya watu... Anzeni na mambo ya kawaida tukifika kwenye uchumi wa maana tutaongelea hizo lethal weapons and mass distraction. Mavunde nilikuwa namsikia ana nadi Gold coins upuuzi mtupu. Wakati BOT wanashindwa kutunza dhahabu ya nchi mpaka tupeleke London yaani mzungu kajua kutuita kidole hakuna mwenye akili tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…