Kiwanda kikubwa cha kisasa cha vigae(Tiles) chazinduliwa Tanzania -East Africa

Toddlers argument [emoji23][emoji23]..tanzania mnatumia which jets?mhhh ...
Yaani tusi la kingereza wala halinanguvu. Piga la kiswahili. Sasa hivyo vi F-5 vyenu vinaonwa kwenye radar ya simu aina ya Galaxy S3 ndiyo mnaona mmepata. Umeyaona lakini hayo makombora ya kibongo ya ground? Sasa hivi tunataka kuliteka anga lote la Africa kwa SU-35, J-20 na J-31 mtakoma. Subirini sikukuu ya mashujaa mtaona. Kuna moja kesho ilitolewa Su-35 Sema sina picha yake.
 
Bila busara na hekima hawez kuwa kiongozi bora hata uwe unagawa pesa
 
Tuna ...tuta ..nunueni halafu mzilete hapa tuzione ..tuna tuta (sgr) bado hamna ..tuna ...tuta (bagamoyo) port ..bado hamna ...tuna tuta ..kila wakati ..this are a cowards word ..in kenya we say tume...
 
Bora tiles zishuke ionekane ni sehem ya ujenzi kuliko ilivyo sasa inaonekana ni sehem ya anasa na garama juu...ukitafuta nyumba unasikia kauli kama ina tiles chini, hotel ina tiles na milango ya vioo....mara kaburi lake limewekewa tiles...basi kuzinduliwa kwake najua kutafanya malighafi hii iwe more available na cheap
 
Tuna ...tuta ..nunueni halafu mzilete hapa tuzione ..tuna tuta (sgr) bado hamna ..tuna ...tuta (bagamoyo) port ..bado hamna ...tuna tuta ..kila wakati ..this are a cowards word ..in kenya we say tume...
Nyie tunajua mpo na F-5. Jana kuna midege ilipita wakati wa ufunguzi, SU-35 na J-20. Sema sina picha tu hapa.
 
Tuna f_5 na haturingi ..tumenyamaza tunaplan polepole ..until when we buy ndo tutabrag until then ...
 
Nilikuuliza utuletee zile jets mko nazo si zile mtanunua in some future
 
Toddlers argument [emoji23][emoji23]..tanzania mnatumia which jets?mhhh ...
Hatuitaji jet vikosi vya miguu vyatosha,kwenye vita huwa hatukurupuki mkuu,ukweli utabaki KDF mje mjifunze mapigano ni nini na yanapiganwa vipi,kwa anayefaham medani ukiwacheki KDF utagundua huko waendako uwezekano wa kurudi mdogo,mjifunze kwa TPDF akifa askari mmoja huwa ni majonzi mwaka mzima kwakuwa hatujazoea na tunajiuliza tulikosea wapi nyie huko wanauawa 100 mnaona kawaida na mnapeleka wengine kiroho safi.
 
kiwanda hicho mnakijua lakini? je mwajua Magu alijialika kwenda kukizindua? behind the scenes kuna vitu vingi
 
Tuna f_5 na haturingi ..tumenyamaza tunaplan polepole ..until when we buy ndo tutabrag until then ...
Mtaringa vipi wakati F-5 is almost nothing.
 
Sasa povu lote hilo kuja kusema umetembea nchi za Africa!!? Mbona wewe ndio unajidhalilisha. Wewe unataka unipangie cha kufanya. Acha kutoa povu!! Unajifanya mtanzania wakati wewe ni Mkikuyu. Prove kama wewe ni mtanzania.
wewe kama ulibwagwa na boyfriend wako wa kikenya usihusishe Tanzania nzima kwenye ugomvi wako Telemundo style! Mtu akitofautiana na mawazo yako tu inabidi aprove ni mtanzania? Tutolee upumbavu, wewe hapo unaweza ukawa mnyarwanda, prove kwanza kama wewe ni mtanzania.
 
Maajabu ya nchi yangu thread kama hz znakosa wachangiaji

Ni hatua nzuri na ya kupongezwa
hatupongezi coz sio cha mbongo angalia sura tu hapo za chung hang mishahara yao midogo na wanyanyasaji pia
 
Hako kakiwanda kadogo sana. Hapa tunaongelea mega tiles. Siyo hako kadogo. Kiwanda cha mkuranga is the best kusini mwa jangwa la sahara. Na ni cha kisasa kabisa. Kuanzia mwezi wa sita tunaanza ku export.

Kikubwa ikilinganisha na kipi? Si nimesikia production line yake ni kilometer moja??? Tryford is two lines of over 1km, sasa sijui Mega sijui nini hii yenu ni gani. Kama ni kuwa smart, tayari Kenya tumewapita na Trausi ambayo ni ya Mkenya, sasa hebu rudieni tena eti mnasema ukubwa wake nini?? Kiwanda cha tiles hata kiwe kikubwa aje, unaweza brag nayo?? Daaaah!!!
 
Tiles za kisasa zinakuja na nini??? Zina micro chips?? Its only Kenya in the whole world and Tesla in America that have done value addition to tiles for roofing, other wise a tile is a tile!!! hapo tulipita, tafuta kingine muje
Hiki ni kiwanda cha tiles za kisasa. Na kikubwa kupita vyote kusini mwa jangwa la sahara. Hayo ya kwenu ni old school fashion.
 
Sio mbaya kulinganisha na kujadili, ila ulivyosema, muanzisha mada, anakurupuka, angeuliza, je Kenya kuna kiwanda kama hiki??? Lakini yeye ushabiki unamtuma vibaya, na sisi kama Wakenya tunampa dawa inamuingia
 
Naona sasa umekunywa viroba. Hebu kaa utulie uandike vizuri. Maana naona unatoa povu tu.
Halafu hicho kiwanda cha mkuranga kipo kingine kitazinduliwa kipo chalinze July kitaanza kufanyakazi
Mwendo kunyoshana tu sikiliza hapa


MICHUZI BLOG: KIWANDA CHA VIGAE CHALINZE KUAJIRI WATU 6000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…