Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Hao ndo wanatusua kimaisha,elimu bongo aipewi thamani,kina baba Levo na chawa wengine maisha yanaenda na wanasomesha watoto shule nzuri huku wenye vyeti wakipuyanga kusaka ajira miaka nenda rudi.
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.[emoji28]
Ni chakulaAccording to people jamaa katoroka zizini?
Kuhusu elimu sijui hila jamaa ni mwanaume wa dar tena konkodi kuna kipindi tulikuwa tuna wasiliana akadhindwa ficha mapungufu yake
Amna kitu ni skendo za kipuuzi tu.mtu akitusua basi anauza madawa au shoga.bongo mtu usitusue aise.Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Bora uishi maisha ya kawaida yenye furaha usiyabeze maisha ya watu siri yao wanajua wao
Sitamani kuwa namba moja hila natamani kuwepo kwenye list ishi humo
Umesema jambo muhimu sn na umetoa mfano ambao upo sahihi kabisa.Hao ndo wanatusua kimaisha,elimu bongo aipewi thamani,kina baba Levo na chawa wengine maisha yanaenda na wanasomesha watoto shule nzuri huku wenye vyeti wakipuyanga kusaka ajira miaka nenda rudi.
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.[emoji28]
Amna kitu ni skendo za kipuuzi tu.mtu akitusua basi anauza madawa au shoga.bongo mtu usitusue aise.
Kwaio wewe dume zima unazurula mitaani kutafuta umbea kwa mafanikio ya wanaume wenzio?kha,,😂Sibishani na wewe kutwa unashinda ndani utajua saa ngapi watu wanatusua vip
Ni kweli bongo ukitusua ni muuza ngada wabongo wengi tuna wivu marekani kila mmoja anatamani kwenda ndo mana tuna jealousAmna kitu ni skendo za kipuuzi tu.mtu akitusua basi anauza madawa au shoga.bongo mtu usitusue aise.
Kwaio wewe dume zima unazurula mitaani kutafuta umbea kwa mafanikio ya wanaume wenzio?kha,,[emoji23]
Kuna dogo alikua anabeba mizigo ya madukani hapa mtaa wa Agrey,basi bwana dogo kajinyima wee mpaka zilipoanza izi mambo za uber akanunua kiberiti akawa anapiga zake uber,kakomaa akapata mtaji akaanza kwenda China,wakamzushia anapeleka drugs China.Ni kweli bongo ukitusua ni muuza ngada wabongo wengi tuna wivu marekani kila mmoja anatamani kwenda ndo mana tuna jealous
"La hashakum si tusi",kaa kitako utulie.Hayo sasa ni matusi
Hapana kusema ana vijihela na maanisha ana hela ndogo tu za kawaida, kwasabbau wenye pesa nyingi wapo na wanafahamika akina Bakhresa, Abood, Hans Macha, Davis Mosha, Ally Awadh, Fida Hussein, Rostam, GSM, Mo Dewji n.k. Yeye ni sahihi kusema ana vijihela kwasababu ni muajiriwa na pengine ana biadhara zake ndogondogo.Mkuu, wewe una unusu-hasi, kusema ana vijihela ni kama unakuwa sawa na hao wanaoona vitu haviwezekani. Yaani ni kama haukubali kuwa huyo mtu ana hela
"La hashakum si tusi",kaa kitako utulie.
Changu si umeshasema kinakaa tu ndani kutwa nzima.wewe unaekizungusha mitaani kutwa nzima ndo ukitulize kitulie.Kikalishe chako
Umaskini kitu kibaya sana pambana upate pesaUnauliza jibu upo dsm lakini umejichimbia bunyokwa tembea na wengine ukikutana nao huwezi kuamini utaishi kwa hofu ni wakubwa sana
Kuna tukio moja nilishuhudia mlimani pale sijawai msimulia mtu maana nahisi kama nafwatiliwa ni jamaa mtu mkubwa sana hapa tz na ana heshima kubwa sana niishie hapo
Changu si umeshasema kinakaa tu ndani kutwa nzima.wewe unaekizungusha mitaani kutwa nzima ndo ukitulize kitulie.
Umaskini kitu kibaya sana pambana upate pesa
Ungekuwa na hela usingeweka picha ya mwanaume mwenzio kwenye profileNinazo zinakizi mahitaji yangu