Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Hao ndo wanatusua kimaisha,elimu bongo aipewi thamani,kina baba Levo na chawa wengine maisha yanaenda na wanasomesha watoto shule nzuri huku wenye vyeti wakipuyanga kusaka ajira miaka nenda rudi.
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.[emoji28]

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza

Bora uishi maisha ya kawaida yenye furaha usiyabeze maisha ya watu siri yao wanajua wao

Sitamani kuwa namba moja hila natamani kuwepo kwenye list ishi humo
 
Hao ndo wanatusua kimaisha,elimu bongo aipewi thamani,kina baba Levo na chawa wengine maisha yanaenda na wanasomesha watoto shule nzuri huku wenye vyeti wakipuyanga kusaka ajira miaka nenda rudi.
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.[emoji28]
Umesema jambo muhimu sn na umetoa mfano ambao upo sahihi kabisa.
Babalevo na Mwijako ukitizama hawa watu wawili wenye ELIMU TOFAUTI lkn utagundua jambo mmoja BABALEVO he is more smart than Mwijako.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli bongo ukitusua ni muuza ngada wabongo wengi tuna wivu marekani kila mmoja anatamani kwenda ndo mana tuna jealous
Kuna dogo alikua anabeba mizigo ya madukani hapa mtaa wa Agrey,basi bwana dogo kajinyima wee mpaka zilipoanza izi mambo za uber akanunua kiberiti akawa anapiga zake uber,kakomaa akapata mtaji akaanza kwenda China,wakamzushia anapeleka drugs China.

dogo kakomaa sasa hivi kibiashara yuko vizuri,unajua biashara za China izi za malonya lonya zimewatoa sana watu kwasababu kipindi icho unapiga faida zaidi ya marasita au zaidi,mfano bidhaa mpaka inafika dukani kwa gharama ya elfu kumi alafu wewe unauza 60k.

sahivi wanamzushia eti ni freemason😂
 
Pamoja na kejeli zote baadhi ya wadau walizotoa humu, Mwamba anakuja sana USA, na huku anakula sana Bata. Si kama haters wengine humu hata Dar kwenye sina hakika kama wamefika.
 
Mkuu, wewe una unusu-hasi, kusema ana vijihela ni kama unakuwa sawa na hao wanaoona vitu haviwezekani. Yaani ni kama haukubali kuwa huyo mtu ana hela
Hapana kusema ana vijihela na maanisha ana hela ndogo tu za kawaida, kwasabbau wenye pesa nyingi wapo na wanafahamika akina Bakhresa, Abood, Hans Macha, Davis Mosha, Ally Awadh, Fida Hussein, Rostam, GSM, Mo Dewji n.k. Yeye ni sahihi kusema ana vijihela kwasababu ni muajiriwa na pengine ana biadhara zake ndogondogo.
 
Unauliza jibu upo dsm lakini umejichimbia bunyokwa tembea na wengine ukikutana nao huwezi kuamini utaishi kwa hofu ni wakubwa sana

Kuna tukio moja nilishuhudia mlimani pale sijawai msimulia mtu maana nahisi kama nafwatiliwa ni jamaa mtu mkubwa sana hapa tz na ana heshima kubwa sana niishie hapo
Umaskini kitu kibaya sana pambana upate pesa
 
Back
Top Bottom