Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Hao ndo wanatusua kimaisha,elimu bongo aipewi thamani,kina baba Levo na chawa wengine maisha yanaenda na wanasomesha watoto shule nzuri huku wenye vyeti wakipuyanga kusaka ajira miaka nenda rudi.
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.😅
Kuna siku utasikia Baba Levo atunukiwa udaktari wa heshima.😅