Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ahaaa mkuu hilo goma la pop smoke dior kumbe unalipata! hatari sana hlo gomaLive band tumekuwa wazee sisi?..wewe vipi bhana"in Manara's voice"
Tunataka tu-bang na magoma kama ya Pop Smoke-Dior.
Tangu umeanza kuzipeleka bank una kiasi sahivi mkuu wa hazina?🤔Hongereni Sana kwa kula bata,mi nalike chapaa nazipeleka bank we unazipeleka Bar.
Good time kila siku ila hela nyingi zipo Bank..Hongereni Sana kwa kula bata,mi nalike chapaa nazipeleka bank we unazipeleka Bar.
Mikocheni na cjh tegeta/ ununioTips iko wapi?
Tangu umeanza kuzipeleka bank una kiasi sahivi mkuu wa hazina?🤔
Ila ndani mziki unaendelea mkuu kwani wakifunga nje na ndani dj anaondoka?Hapo nje, saa sita tu wanafunga! Mambo gani sasa hayo? Hahahh...unakuta kule ndani kumepooa, hamna watu.
😀😀😀 mkuu unaniuaa😂Nina Usd 140 sawa na Bilioni laki tatu na ishirini na nne point nne.
Micasa Kuna mbuuDah nilitaka nikwambie uje Micasa kumbe hupataki! Basi
Kwa ajili yako nakuja aisee chapuu kdgoWakuu njooni Micasa ubungo kuna live band[emoji95]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinifanye nitoke wakati
Nimejiunga na kwaya kanisani last week[emoji23][emoji23]
Mkuu hujashuhudia tuhiyo live band !hayo magoma yote watu wanaperfom yani ni muziki tofauti tofauti unaimbwa live 😋Live band tumekuwa wazee sisi?..wewe vipi bhana"in Manara's voice"
Tunataka tu-bang na magoma kama ya Pop Smoke-Dior.
Unaishi wapi mkuu..!??Nina Usd 140 sawa na Bilioni laki tatu na ishirini na nne point nne.
Poa mkuu!Kwa ajili yako nakuja aisee chapuu kdgo
Ahaa mkuu hapo manzese wahun wengi ukilewa labda muwe wengi kdg ila tofaut na hvy watakufanyia practical ya ukabajAisee kuna kiwanja kipo "Tip top" [emoji23][emoji23][emoji23] ni mpaka asubuhi, watu kibao.
Kinaitwa "Tip top pub" hahah...bei ni elekezi.
Halafu wana sehemu kama tatu, unachagu ambapo kutakuwa na miziki inayokubamba ( kuna sehemu ya mbele, halafu kuna sehemu unakuwa unaingia kwa ndani) pote kuna nafasi, maDj tofauti...miziki tofauti....watu kibao, shangwe
HahahahTangu umeanza kuzipeleka bank una kiasi sahivi mkuu wa hazina?[emoji848]