Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

Leo huna noti broh..siyo kawaida yako.
Noti ninazo mkuu za kunitosheleza at least nikala bata.Sema nimefululiza sn sehemu hizo.Mpaka nikawa nanuka Guinness tu.Kupumzika Muhimu.Tena nimeairisha kiutani sn leo,nilikuwa nimeshaamua nitoke.Na kampani pia sina leo
 
Noti ninazo mkuu za kunitosheleza at least nikala bata.Sema nimefululiza sn sehemu hizo.Mpaka nikawa nanuka Guinness tu.Kupumzika Muhammad.Tena nimeairisha kiutani sn leo,nilikuwa nimeshaamua nitoke.Na kampani pia sina leo
Kampani ya marafiki au kampani ya demu..!??
 
Level 8
Rooftop kempiski hotel
Hii ni five star club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…