Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
36,899
Reaction score
73,370
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
 
Unalilia uwanja wakati first leg hamkupata hata on Target 1
Yaani hata RS Berkane wangeamua kucheza bila goal keeper msingefunga

Kama mko tayari RS Berkane tuje Bunju chumbani kwenu
Tuliza wenge
Screenshot_20250519-143653_Instagram.jpg
 
Timu inashinda kwa ushirikina na Rushwa kwa marefa na Bado mnaona inaonewa!!
Yote wamesababisha Bodi ya Ligi na Tff kuwa beba katika mambo ya ki puuzi na Sasa mnajiona mna haki.

Simba hii yenye kiwango cha jalalani haikustahili kufika fainali, Kuna timu zimefanyiwa dhulma Simba kufika hapo.
Fainali ya mkondo wa kwanza ilikosa mvuto kwakua uwanja uli inama mpaka refa kuamua kukataa magoli na penalty za dhahili ili fainal ya pili iwe na mvuto.
 
Nyie naona mna kiwango cha chooni mkaishia makundi...
 
Yani mi utopolo ndo michawi namba moja mnavyoshabakia Simba kucheza amani kama nyie ndo Berkane...haizuii maumivu ya nyie kuishia makundi..
Haizuii maumivu ya simba kufika fainali na kufyeka chaka lenu....
Mnajua Simba akiwa lupaso anavyounguruna
 
Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....
Huachi ng'ooo ......

Ndio kwanza utauvaa ushabiki kisawasawa....🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom