MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja ambacho mashabiki muda wote wanapuliza mavuvuzela vuuuuu vuuuuuu vuuuuu vu pyeee pye pyeee utadhani nyuki waliopotea njia! Uogopwe for what? Watanzania tuache kukuza mambo na kupenda kujisifia ujinga! Hapohapo kwenye huo uwanja mtu alishateseka sana sio 4,3 hata 5 wakina Raja casablanca wanajipigia tu, Tuache kukuza mambo! Hilo kombe lenyewe ukienda hapo Kenya tu, hakuna mtu mwenye habari nalo 😀
Tuache porojo na vichaka vya kujificha, Tujenge viwanja vyenye ubora, Kiwanja cha Mkapa pitch ni mbovu mno! Hata ukifuatilia michezo yote iliyochezwa pale kuanzia ile derby ya Kariakoo, Pitch ni mbovu haina hadhi kabisa! Hata Al masry hawakufua dafu kwa sababu mpira ulikuwa hautembei na si kwasababu ya ubora wa mpinzani! Tangu 2023 uwanja unakarabatiwa na bilioni 30 zilitolewa, Labda wahusika watueleze mpira unachezwa kwenye viti au pitch? Nitashangaa CAF mkiruhusu uwanja huu utumike, haitakuwa fair kwa vilabu pinzani, upinzani uonekane kwenye mbinu, mashabiki nk, kama ilivyo huko old trafford, santiago bernabeu nk. sio kwenye ubovu wa pitch!