Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Sasa hivi deni lililopo ni nusu fainali Club bingwa Africa baada ya hapo ndo deni la kombe litafata. Likibebwa sasa hivi ni bonus itakayotupa furaha. Suprice.
 
Sasa hivi deni lililopo ni nusu fainali Club bingwa Africa baada ya hapo ndo deni la kombe litafata. Likibebwa sasa hivi ni bonus itakayotupa furaha. Suprice.
Hakuna kombe linabebwa
Mwarabu anapiga mbumbumbu nje ndani
 
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Kwani we Bwan'kolo huoni kama uwanja una shida? Fanya kama hivi
 

Attachments

  • 超级截屏_20250517_153910.png
    超级截屏_20250517_153910.png
    1 MB · Views: 27
Basi kaa kwenye uelewa wako mkuu tusilazimishane...
Kwanza hakuna mahali nimesema wanacheza...najua ww una akili nzuri
Kitendo cha kulilia BM stadium kisa mashabiki ni dhahiri hamna kitu, maswala ya akili peleka kwenye jamii intelligency na teknolojiaaa. Humu ni burudani tu na lazima mkandwe.
 
Back
Top Bottom