Dada acha tucheze tu huko huko Zanzibar...imekua hivi sababu ya upigaji ufisadi na uzembe Wa wanaojijua..laiti kama teknolojia inayotumika kama.ya uwanja wa aman ingekua uwanja wa taifa basi haya yote yasingetokea...leo hii wanawaruka watanzania wanasema waliambiwa marekebisho hayahusian na pitch ..upumbavu ulioje..wanadhani watu hawana akili? Wewe utarekebishaje uwanja kwa kutumia bilioni 30 usiguse pitch na zaidi uliweza kuona mechi iliyopita uwanja ulivyojaa maji, kweli ubadilishe viti sijui vikae muonekano wa bendera halafu pitch usiguse upumbavu wa Hali ya juu..mapesa yote ya kifisadi yanayoibwa tengenezeni basi uwanja uliopo uwe na standard za kimataifa...ni upuuzi tu..bil 30 zimekwenda na mavi,.. Zanzibar wamewezaje...acha tukacheze Zanzibar na mashabiki wetu elfu 15 wao wako siriaz zaidi