Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Hakuna figisu wala nini mmebembwa sana tu lile goli halikuwa offside na penati tatu za wazi mkabebwa

Kama berkane angepewa aibu kubwa mliipata dunia nzima inajua mlibebwa
 
Duh aiseee umepanic sana
Ulikuwepo unawakimbiza?? Ulikuwepo wakati wanakimbia au ww ndo uliwakimbiza... Na walifukuzwa na nani mpk wakimbie...kuondoka ndo kukimbia...nani kakwambia lupaso ni kwa simba pekej yake...nyie kama mnaona sawa kucheza huko kwingine ni nyie sisi tunataka tulipopazoea....
Hyo ya trh 8 na leo vinauhusiano gani labda naona mada haihusiani hapa...ile ni nbc ligi hii ni Shirikisho CAF ni mpira ila figisu tofauti...
Mizimu hata ya kwenu ipo hapo labda imekufa kimataifa mka ifufue hahah
 
Nendeni Zanzibar mkazabuliwe Tena habari za ushirikina pale taifa safari hii mmekutana na mafia mmetoa milio mpaka nawaonea huruma!
Mafia ndo kina nani hao?? Ww tuliza ngebe utatulia soon kama sio wewe...ahahah tuna wazoom tuu
 
Hakuna figisu wala nini mmebembwa sana tu lile goli halikuwa offside na penati tatu za wazi mkabebwa

Kama berkane angepewa aibu kubwa mliipata dunia nzima inajua mlibebwa
Aisee basi safi tunataka tubebwe mpk hapa Bongo...ili tubebeke vizuriiii....
Ukibebwa bebekaaa ili hyo dunia uliyopo ww mnaojua tumebebwa basi mjue kwa uzuri zaidi...
 
Makolo kwahyo mkifungwa tatizo litakuwa uwanja na mkishinda huko zanzibar? Stella si mlimfunga hukohuko zanzibar leo ndo aman hakufai
 
Aisee basi safi tunataka tubebwe mpk hapa Bongo...ili tubebeke vizuriiii....
Ukibebwa bebekaaa ili hyo dunia uliyopo ww mnaojua tumebebwa basi mjue kwa uzuri zaidi...
Na kubwbwa kote bado mkala mkaa
 
Hovyoo kabisa .... Mpira hauendeshwi kijinga kiasi hicho... Nyie si mnajinasibu kuwa timu kubwa Afrika inakuwaje mfanyie figisu na timu ndogo kama Berkane ambayo haipo hata top 5 bora?.

Ujuaji na ujinga wa viongozi wa Tz ndio unawafanya muonekana mnaonewa... Mbona mechi dhidi ya Stellen hamkusema hiyo habari ya home ground ? Au idadi ya mashabiki ilikuwa sawa na mkapa stadium?, madrid amechokonolewa na Arsenal Berbabu na full house yake iliwasaidi?, kwahiyo hiyo full home ground advantage hamkuwanayo kipindi mnacheza Galaxy akawachoknoa hapo mnapopalilia?.

Timu bora hujilita kwenye mbinu na kuboresha uwezo wa wachezaji wake.... Hizi habari za home ground imebaki kama kitu cha ziada tena chenye msaada mdogo kma huna kikosi imara....

Vipi huyo aly Ahaly hakuwa kwenye home ground fever? Mbona alitolewa na mamelod?.
Acheni ngonjera kitimu chenu hakina uwezo zaidi ya mbeleko ndio zimewafikisha hapo.
 
Mbona mashairi marefu sana mr uto?
Kitimu chenye uwezo kipo Tanga...
 
Mbona mashairi marefu sana mr uto?
Kitimu chenye uwezo kipo Tanga...
😂😂Maniner nendeni Zanzibar naafuta yenu waarabu wana shughuli na mafuta mnayopakwa na mwamposa.
 
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
tulia mpigwe nyuma na mbele DAIMA MBELE tufurahi kyee kyee kyeee!
 
😂😂Maniner nendeni Zanzibar naafuta yenu waarabu wana shughuli na mafuta mnayopakwa na mwamposa.
Tutapakana mbonaaa....wewe chekelea kama umeona mchuzi wa pweza...mbafuuu
 
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Mkuu CAF wao walishatoa taarifa game inapigwa Zanzibar.So nyie wanasimba ndoo mnahangaika.Na maandalizi yanaendelea Zanzibar new Aman stadium.
 
Mh! wacha ushabiki point ya caf juu ya uwanja inaeleweka kabisa walisema kwasababu ya mvua zinazoendelea!.
Ukitaka kujua shida imeanzia wapi ni pale mlipocheza na Al masly lile jaruba sio kwamba caf hawakuliona waliliona hivyo hawataki yajitokeze tena kama yale!.

Mi sioni shida yoyote mechi kuhamishiwa Zanzibar na wala sioni siasa ama figisu yoyote!, kama mnauwezo wakushinda kelele za uwanja si lolote si chochote!.
Na ipo hivi kuhusu uwanja wa Benjamin msiilaumu caf ilaumuni serikali yenu kwakushindwa kurekebisha nakutatua changamoto ya uwanja kujaa maji!, kwa hizi nyakati za mvua caf imeona kabisa ndio leo tunaweza kuruhusu mechi ichezwe Benjamin kwasababu wamekagua nakuona leo upo sawa lkn vipi siku hiyo ya mechi mvua ikapiga mfululizo si yatajitokeza yaleyale ya jaruba!, so what to do ni heri kupeleka mechi ambapo hakuna jaruba!.

Vitu vyengine tuache ushabiki ile ni kazi ya mtu wanaofanya maamuzi wanakila haja yakuangalia nakutatua changamoto wanazoziona ili kila kitu kiende sawa!... Mwisho wasiku simba acheni kujificha kwenye kichaka cha kufanyiwa figisu haitawapa chochote!.
Na hii ikawe funzo kwa taasisi zote zinazohusika na michezo pamoja na serikali vilevile hizi club zote mbili wafanye hima wapate viwanja vyao ili waepuke lawama zisizo lazima.
 
Back
Top Bottom