Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako
Ubaya ubwela
 
Tutapakana mbonaaa....wewe chekelea kama umeona mchuzi wa pweza...mbafuuu
Hivyo visididi vyenu pale zanzibar vitakunwa na mafuta yenu ya mwamposa.... Kafukueni wale mbuzi pale kwa mkapa😂😂
 
Mh! wacha ushabiki point ya caf juu ya uwanja inaeleweka kabisa walisema kwasababu ya mvua zinazoendelea!.
Ukitaka kujua shida imeanzia wapi ni pale mlipocheza na Al masly lile jaruba sio kwamba caf hawakuliona waliliona hivyo hawataki yajitokeze tena kama yale!.

Mi sioni shida yoyote mechi kuhamishiwa Zanzibar na wala sioni siasa ama figisu yoyote!, kama mnauwezo wakushinda kelele za uwanja si lolote si chochote!.
Na ipo hivi kuhusu uwanja wa Benjamin msiilaumu caf ilaumuni serikali yenu kwakushindwa kurekebisha nakutatua changamoto ya uwanja kujaa maji!, kwa hizi nyakati za mvua caf imeona kabisa ndio leo tunaweza kuruhusu mechi ichezwe Benjamin kwasababu wamekagua nakuona leo upo sawa lkn vipi siku hiyo ya mechi mvua ikapiga mfululizo si yatajitokeza yaleyale ya jaruba!, so what to do ni heri kupeleka mechi ambapo hakuna jaruba!.

Vitu vyengine tuache ushabiki ile ni kazi ya mtu wanaofanya maamuzi wanakila haja yakuangalia nakutatua changamoto wanazoziona ili kila kitu kiende sawa!... Mwisho wasiku simba acheni kujificha kwenye kichaka cha kufanyiwa figisu haitawapa chochote!.
Na hii ikawe funzo kwa taasisi zote zinazohusika na michezo pamoja na serikali vilevile hizi club zote mbili wafanye hima wapate viwanja vyao ili waepuke lawama zisizo lazima.
Haya mkaka wa Yanga
 
Hivyo visididi vyenu pale zanzibar vitakunwa na mafuta yenu ya mwamposa.... Kafukueni wale mbuzi pale kwa mkapa😂😂
Mbuzi tutawapa mnywee supu vibudu......
Kuna ngamia pia pale sio chini ya kumi unataka nundu au mkia?
 
Mkuu CAF wao walishatoa taarifa game inapigwa Zanzibar.So nyie wanasimba ndoo mnahangaika.Na maandalizi yanaendelea Zanzibar new Aman stadium.
Mm sijahangaika jamani...au hujanielewa mkuu....
 
Mbuzi tutawapa mnywee supu vibudu......
Kuna ngamia pia pale sio chini ya kumi unataka nundu au mkia?
Au waambieni bodi ya ligi wazuie mechi kuchezewa Zanziba 😂😂😂 wapakwa mafuta fc wameshikwa nyoro zao wamelowaaaaaaaaaa tepetepeeeeee😃
 
Kaangalie statistics za mc Alger vs yanga 2-0 uangalie shot on target zipo ngapi
1747667596810.png
 
Haya mkaka wa Yanga
Sawa mdada wa simba ila elewa kitu kelele unazopiga au ninazopiga hazibadilishi chochote cha aidha simba kushinda ama kushindwa!..
Mi nafikiri huu muda ama huu uzi ungeutumia kuandika maneno yakuipa moyo na hali timu yako ili iende ikafanye vyema ktk mechi yao ya mwisho, pasipo hata kujalisha ni uwanja upi watautumia.. maana mwisho wa yote ni nani alipata matokeo ya ushindi!.
Timu yako inamzigo wakubeba so for now don't focus on blaming!, just give them tactics and ways to win that is what need to be done for now!.
 
Kuongea binadamu tumeumbiwa...ukishatoa duku duku lako sasa moyo unapoaaa....then mengine yanafuata...I hope huko wao wachezaji na benchi la ufundi wapo busy na maandalizi haya mengine ni chit chat tuu mkaka wa Yanga....
Thanx any way....
 
Pitch ni mbovu, baada ya game yenu si uwanja ulifungwa kupisha matengenezo.

Na Mwinjuma alisema wao walinase kuetengeneza maeneo mengine na sio pitch.

Kama mna wachezaji bora popote ni nyumbani.
 
Kuongea binadamu tumeumbiwa...ukishatoa duku duku lako sasa moyo unapoaaa....then mengine yanafuata...I hope huko wao wachezaji na benchi la ufundi wapo busy na maandalizi haya mengine ni chit chat tuu mkaka wa Yanga....
Thanx any way....
Ahsante nawe pia kwa kuwa muelewa.
 
Yaani nyie ndio mnitulize,,jumapili baada ya mechi uje unipe matokeo!
Nije nayo au utayaona mwenyewe ww ndo utachagua uje au usije....
Sio lazima sisi tukutulize hata huko nyuma mwiko wanaweza wakakutuliza hahaha
 
Nije nayo au utayaona mwenyewe ww ndo utachagua uje au usije....
Sio lazima sisi tukutulize hata huko nyuma mwiko wanaweza wakakutuliza hahaha
Sio kwamba mbumbumbu mnatulizana wenyewe kumuunga mkono Rage!
 
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...

Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa kuchukua hilo kombe ni kazi ngumu na ninaona giza kwa sababu ambazo zipo wazi na nyingi tuu kuna fitna nyingi mno including kwa watu wa hapa nyumbani Tanzania.Ndio Berkane ni timu nzuri ila hakuna timu ambayo ilikuja hapa ikaondoka salama kwa sbb ya nguvu ya mashabiki pale lupaso...so kumfunga huyo mlima machungwa inawezekana tuu.

Kama wamebadili uwanja kwa kuogopa nguvu ya mnyama na mashabiiki wake pale Lupaso na kusingizia ubaya wa pitch bila shaka wanataka kubaki na kombe...kuna watu wanasema ooh kwani uwanja ndo unacheza ila ikumbukwe faida ya kuchezea home ground na jinsi unavyopata back up ya mashabiki inavyowapa ari wachezaji..wingi wa mashabiki ni silaha kubwa kwa wapinzani...pale Amani hapatoshi.
Uwanja wa Benjamini hauna kipengele vipengele wanavyo wao...

Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....

##Kiza Kinene##
Mungu angaza Nuru yako

Mbona mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellen hamkusema hiyo habari ya home ground ? Au hamkuchezea Zanzibar?

Pia unaitaje home ground uwanja ambao haujaujenga wewe, ni unakodishwa tu.

Siku nyingine unakodi KMC stadium, siku nyingine unakodi Azam stadium.

Kama unataka siku zote uwe kwenye uwanja wako unapaswa kujenga mwenyewe kwanza
 
Hivi mnashindwa kuelewa au kujifanya vichwa ngumu....mechi ya nusu fainali ndo tulitoka kucheza na Almasry uwanja ukawa mbovu yakaanza marekebisho ndo kwenda Amani..ila kwa sasa si umeshakua tayari?? Msichokielewa hapa ni nini...
Kwani home ground si unachagua ww uwe wapi...kwani lazima ujenge? Kama haujajenga hata kwa kukodi sawa ilimradi upaite hapo ndo home ground yako...
 
Dada acha tucheze tu huko huko Zanzibar...imekua hivi sababu ya upigaji ufisadi na uzembe Wa wanaojijua..laiti kama teknolojia inayotumika kama.ya uwanja wa aman ingekua uwanja wa taifa basi haya yote yasingetokea...leo hii wanawaruka watanzania wanasema waliambiwa marekebisho hayahusian na pitch ..upumbavu ulioje..wanadhani watu hawana akili? Wewe utarekebishaje uwanja kwa kutumia bilioni 30 usiguse pitch na zaidi uliweza kuona mechi iliyopita uwanja ulivyojaa maji, kweli ubadilishe viti sijui vikae muonekano wa bendera halafu pitch usiguse upumbavu wa Hali ya juu..mapesa yote ya kifisadi yanayoibwa tengenezeni basi uwanja uliopo uwe na standard za kimataifa...ni upuuzi tu..bil 30 zimekwenda na mavi,.. Zanzibar wamewezaje...acha tukacheze Zanzibar na mashabiki wetu elfu 15 wao wako siriaz zaidi
 
Back
Top Bottom