Nyie naona mna kiwango cha chooni mkaishia makundi...Timu inashinda kwa ushirikina na Rushwa kwa marefa na Bado mnaona inaonewa!!
Yote wamesababisha Bodi ya Ligi na Tff kuwa beba katika mambo ya ki puuzi na Sasa mnajiona mna haki.
Simba hii yenye kiwango cha jalalani haikustahili kufika fainali, Kuna timu zimefanyiwa dhulma Simba kufika hapo.
Fainali ya mkondo wa kwanza ilikosa mvuto kwakua uwanja uli inama mpaka refa kuamua kukataa magoli na penalty za dhahili ili fainal ya pili iwe na mvuto.
Bado uwanja haujakidhi vgezo,!Uwanja umesharekebishwa...
Huachi ng'ooo ......Ikiwa Simba mtachukua hili kombe ...hiyo siku baada ya kumaliza kushangilia nitaacha kabisa ushabiki ili nibaki na kumbukumbu hiyo nzuri ambayo sitataka tena kuiharibu kwa mechi zingine za hapa Tanzania....