Kiza kinene fainali ya mkondo wa pili ya kombe la Shirikisho Afrika

Ubaya ubwela
 
Tutapakana mbonaaa....wewe chekelea kama umeona mchuzi wa pweza...mbafuuu
Hivyo visididi vyenu pale zanzibar vitakunwa na mafuta yenu ya mwamposa.... Kafukueni wale mbuzi pale kwa mkapa😂😂
 
Haya mkaka wa Yanga
 
Hivyo visididi vyenu pale zanzibar vitakunwa na mafuta yenu ya mwamposa.... Kafukueni wale mbuzi pale kwa mkapa😂😂
Mbuzi tutawapa mnywee supu vibudu......
Kuna ngamia pia pale sio chini ya kumi unataka nundu au mkia?
 
Mkuu CAF wao walishatoa taarifa game inapigwa Zanzibar.So nyie wanasimba ndoo mnahangaika.Na maandalizi yanaendelea Zanzibar new Aman stadium.
Mm sijahangaika jamani...au hujanielewa mkuu....
 
Mbuzi tutawapa mnywee supu vibudu......
Kuna ngamia pia pale sio chini ya kumi unataka nundu au mkia?
Au waambieni bodi ya ligi wazuie mechi kuchezewa Zanziba 😂😂😂 wapakwa mafuta fc wameshikwa nyoro zao wamelowaaaaaaaaaa tepetepeeeeee😃
 
Haya mkaka wa Yanga
Sawa mdada wa simba ila elewa kitu kelele unazopiga au ninazopiga hazibadilishi chochote cha aidha simba kushinda ama kushindwa!..
Mi nafikiri huu muda ama huu uzi ungeutumia kuandika maneno yakuipa moyo na hali timu yako ili iende ikafanye vyema ktk mechi yao ya mwisho, pasipo hata kujalisha ni uwanja upi watautumia.. maana mwisho wa yote ni nani alipata matokeo ya ushindi!.
Timu yako inamzigo wakubeba so for now don't focus on blaming!, just give them tactics and ways to win that is what need to be done for now!.
 
Kuongea binadamu tumeumbiwa...ukishatoa duku duku lako sasa moyo unapoaaa....then mengine yanafuata...I hope huko wao wachezaji na benchi la ufundi wapo busy na maandalizi haya mengine ni chit chat tuu mkaka wa Yanga....
Thanx any way....
 
Pitch ni mbovu, baada ya game yenu si uwanja ulifungwa kupisha matengenezo.

Na Mwinjuma alisema wao walinase kuetengeneza maeneo mengine na sio pitch.

Kama mna wachezaji bora popote ni nyumbani.
 
Kuongea binadamu tumeumbiwa...ukishatoa duku duku lako sasa moyo unapoaaa....then mengine yanafuata...I hope huko wao wachezaji na benchi la ufundi wapo busy na maandalizi haya mengine ni chit chat tuu mkaka wa Yanga....
Thanx any way....
Ahsante nawe pia kwa kuwa muelewa.
 
Yaani nyie ndio mnitulize,,jumapili baada ya mechi uje unipe matokeo!
Nije nayo au utayaona mwenyewe ww ndo utachagua uje au usije....
Sio lazima sisi tukutulize hata huko nyuma mwiko wanaweza wakakutuliza hahaha
 
Nije nayo au utayaona mwenyewe ww ndo utachagua uje au usije....
Sio lazima sisi tukutulize hata huko nyuma mwiko wanaweza wakakutuliza hahaha
Sio kwamba mbumbumbu mnatulizana wenyewe kumuunga mkono Rage!
 


Mbona mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellen hamkusema hiyo habari ya home ground ? Au hamkuchezea Zanzibar?

Pia unaitaje home ground uwanja ambao haujaujenga wewe, ni unakodishwa tu.

Siku nyingine unakodi KMC stadium, siku nyingine unakodi Azam stadium.

Kama unataka siku zote uwe kwenye uwanja wako unapaswa kujenga mwenyewe kwanza
 
Hivi mnashindwa kuelewa au kujifanya vichwa ngumu....mechi ya nusu fainali ndo tulitoka kucheza na Almasry uwanja ukawa mbovu yakaanza marekebisho ndo kwenda Amani..ila kwa sasa si umeshakua tayari?? Msichokielewa hapa ni nini...
Kwani home ground si unachagua ww uwe wapi...kwani lazima ujenge? Kama haujajenga hata kwa kukodi sawa ilimradi upaite hapo ndo home ground yako...
 
Dada acha tucheze tu huko huko Zanzibar...imekua hivi sababu ya upigaji ufisadi na uzembe Wa wanaojijua..laiti kama teknolojia inayotumika kama.ya uwanja wa aman ingekua uwanja wa taifa basi haya yote yasingetokea...leo hii wanawaruka watanzania wanasema waliambiwa marekebisho hayahusian na pitch ..upumbavu ulioje..wanadhani watu hawana akili? Wewe utarekebishaje uwanja kwa kutumia bilioni 30 usiguse pitch na zaidi uliweza kuona mechi iliyopita uwanja ulivyojaa maji, kweli ubadilishe viti sijui vikae muonekano wa bendera halafu pitch usiguse upumbavu wa Hali ya juu..mapesa yote ya kifisadi yanayoibwa tengenezeni basi uwanja uliopo uwe na standard za kimataifa...ni upuuzi tu..bil 30 zimekwenda na mavi,.. Zanzibar wamewezaje...acha tukacheze Zanzibar na mashabiki wetu elfu 15 wao wako siriaz zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…