Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Ballon d or neymar alikuwa wa ngapi na harzad wa ngapi?
Goal career neymar kampita harzad mara 3
Sasa anajipya gani hazard?
Hata Bale alishalipiwa hela nyingiwe jamaa bana hivi zile pesa zilizolipwa na psg unafikir walipania kuzitupa tu eee?
neynar ni mchezaji aliekamilika kwa kila kitu
Dyabala na hazard hawachukuiTulia baba. Huyo bishoo ballon atazisikia redioni.
2018-2024 Messi
2025-2026 Dybala
2026-207 Mbappe or Hazard
Hata Bale alishalipiwa hela nyingi
Kuna wa fc Barcelona na yule wa celtic nadhani ulimaanisha wa Barca bado huwezi mweka kwenye class ya kina messi class yake ni kina salahUnamfahamu vizuri wewe au? Anachezea timu gani?
si umepewa fakti au una jingine hazard si yupo hapoSource?
Hazard kafanya kipi UEFA msimu huu?
Kwa hiyo tuzo zitatolewa kwa kuangalia viwango vya 2011 hadi 2015?Tatizo mnafuatilia zaidi epl fuatilia toka 2011 had 2015 hata hao waliotajwa ukiacha neymar na hazard hawakai hapo
Sasa ukisikia crying for public sympathy ndio huku.Tulishaaminishwa ngozi nyeupe peke yake ndo anaejua kila kitu hata etoo alipofukuzwa barcelona pedro akabak haikuwa ajabu.
Hivi wewe Pogba umeanza kumfaham akiwa united ama?Sasa ukisikia crying for public sympathy ndio huku.
1. Lini Etoo alifukuzwa Barcelona?
2. Ubutu wa Pogba unahusiana nini na rangi yake?
3. Kwa hiyo kwako Coutinho nyuma ya Pogba sababu tu mnafanana rangi?
Tuchambue viwango vya wachezaji kama wanavyojidhihirisha day to day, rangi na historia tuwaachie wikipedia. Pogba na Hazard watafutieni shughuli zingine za kufanya
Kwa hiyo kura atapigiwa kwa kiwango chake cha sasa au historia yake akiwa Juventus?Hivi wewe Pogba umeanza kumfaham akiwa united ama?
Unapoongea pogba na hazard watafutiwe kazi za kufanya una maanisha nn? Hayo ya kura umeyatoa wapi?Kwa hiyo kura atapigiwa kwa kiwango chake cha sasa au historia yake akiwa Juventus?
Soma madaUnapoongea pogba na hazard watafutiwe kazi za kufanya una maanisha nn? Hayo ya kura umeyatoa wapi?
Hakuna alipoandika limitation ya mwaka hata mwakan au mwaka kesho kutwa mmoja ktk orodha hiyo akifanya poa anaibukaSoma mada