Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Neymar akituliza kichwa vizuri atazikoga sana, ila ahame huko psg kwake.
 
Tulishaaminishwa ngozi nyeupe peke yake ndo anaejua kila kitu hata etoo alipofukuzwa barcelona pedro akabak haikuwa ajabu.
Sasa ukisikia crying for public sympathy ndio huku.
1. Lini Etoo alifukuzwa Barcelona?
2. Ubutu wa Pogba unahusiana nini na rangi yake?
3. Kwa hiyo kwako Coutinho nyuma ya Pogba sababu tu mnafanana rangi?

Tuchambue viwango vya wachezaji kama wanavyojidhihirisha day to day, rangi na historia tuwaachie wikipedia. Pogba na Hazard watafutieni shughuli zingine za kufanya
 
Hivi wewe Pogba umeanza kumfaham akiwa united ama?
 
Back
Top Bottom