Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

braza.. unamueka mbape.... pogba na dyibal kwa vigezo gani....

kuwa serious baasi balloon sio mchezaji maarufu au anayechipukia.....


balloon ni mchezaj bora.... na mchakato wa Kumpata kwake... sio km uchaguz wa diwani bro
Unajua mbape alikuwa wa ngapi kwenye ballon d'or iliyopita? Na akiwa na umri gani? Akitokea team gani?
 
Sio kweli , mbappe ni bora kuliko neymar
 
Hapo labda neymar na eden hazard wanaweza ng'ara hao pogba na dyabala ni big no ingawa wanacheza vizur
 
Hapo labda neymar na eden hazard wanaweza ng'ara hao pogba na dyabala ni big no ingawa wanacheza vizur

Ha ha haa kweli jamiiforrum raha sana. Yani unamwacha dybala!!! Ndiomaana watanzania huwa tunafeli hivi hivi

Honours
Club
Palermo[12]
Juventus[12]
Individual

Ebu weka na neimar hapa tuone. Usituletee ya Barcelona maana kule kuna PROFESSOR wake.
 
Tatizo nyie mashamba boy ambao hamna swagger mnamchukia neymar jr
Mi najua swagger kibao toka za kufunga nywele ( darren peacock, petit), mbaka za kuvaa hereni kina roberto Baggio, mpaka za kuvuga ndevu david ginnola , mpaka xa kunyoa unga vialli , rasta ruud gullit etc, huyo jamaa yako bishoo tu hamna kitu,swagger za kina clareence seedorf ( engineer) etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…