Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mbape alikuwa wa ngapi kwenye ballon d'or iliyopita? Na akiwa na umri gani? Akitokea team gani?braza.. unamueka mbape.... pogba na dyibal kwa vigezo gani....
kuwa serious baasi balloon sio mchezaji maarufu au anayechipukia.....
balloon ni mchezaj bora.... na mchakato wa Kumpata kwake... sio km uchaguz wa diwani bro
Sio kweli , mbappe ni bora kuliko neymarWE MPUUZI, UNAMFANANISHAJE NEYMAR NA TAKATAKA KAMA POGBA, DYBALA?
HAPO NEYMAR HAKUNA ANAYEFANANA NAYE, UKIWAONDOA MESI NA CR, NEYMAR ATAKUWA ANACHUKUA TUZO KILA MWAKA KWA MIAKA 10 MFULULIZO.
Kwanza ukumbuke licha ya ushndani wa cr na messi, lakn bdo huyo dogo anakuwa shortlisted ktk watatu wanaowania.. Ebu mheshmu neymar.. Sema tu league anayochezea ni ya kishambaboy, na watu wanaipenda Psg kwa ajili ya kumwona neymar, cha kufanya hapo neymar ahamie timu kubwa ya spain au england
Ww ukweli mpira unajua bora cotinho mara mia kuliko huyo bishoo,Tulia baba. Huyo bishoo ballon atazisikia redioni.
2018-2024 Messi
2025-2026 Dybala
2026-207 Mbappe or Hazard
Pogba sio mbaya sasa hivi ndio anaibeba ManAcha unazi......pogba???[emoji16][emoji16]
Kitu mbappeHapo labda neymar na eden hazard wanaweza ng'ara hao pogba na dyabala ni big no ingawa wanacheza vizur
Ww ukweli mpira unajua bora cotinho mara mia kuliko huyo bishoo,
Mashabiki wa PSG wamemzomea juzi juziKabisa mkuu. Mchezaji mwenyewe hana nidhamu.
Umetumia kichwa kufikiri au?Sio kweli , mbappe ni bora kuliko neymar
Tatizo nyie mashamba boy ambao hamna swagger mnamchukia neymar jrWw ukweli mpira unajua bora cotinho mara mia kuliko huyo bishoo,
Hapo labda neymar na eden hazard wanaweza ng'ara hao pogba na dyabala ni big no ingawa wanacheza vizur
Tatizo Neymar kiburi juu sasa anajiona yeye do timu nzima
Mi najua swagger kibao toka za kufunga nywele ( darren peacock, petit), mbaka za kuvaa hereni kina roberto Baggio, mpaka za kuvuga ndevu david ginnola , mpaka xa kunyoa unga vialli , rasta ruud gullit etc, huyo jamaa yako bishoo tu hamna kitu,swagger za kina clareence seedorf ( engineer) etcTatizo nyie mashamba boy ambao hamna swagger mnamchukia neymar jr
Lakini maoni yako ni ya kipuuzi