Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Nimecheka sana mkuu,umenikumbusha mbali sana nasikia huko vijijini walikuwa wanachemsha hata mavitu hayaliwi usiku watoto wanajua ni msosi wanapitiwa usingizi wanalala,siku imepita hiyo.tumetoka mbali,uzi huu watoto wa 2000 wanaona ni uongo kula vitu visivyolika kwa sasa,mkeo usimuache mkuu japo hata mimi nimevuta binti mbichi kabisa ndio tunaenda sawa
 
Mkidate vitoto huwa mnajionaga na nyie watoto, kumbe mtaani mnaonekana wazee mliochanganyikiwa😂 Hapo ukute unavaa jeans Modo na kunyoa kiduku kushindana na vijana😂😂
Vitoto havitoi shikamoo kindezi maana vinaliwa na mibaba mijitu mizima kama mleta uzi.

Kama upo kijijini basi ni kweli wewe una sura isiyozeeka ila kama upo daslam afu unasema vitoto havikupi shikamoo wakati vitoto vya daslam heshima kwa wakubwa ni <0%
 
Kwa hiyo hizo ngozi tunazoona zimesinyaa na mvi kichwani sababu yake nini kama sio uzee
 
Niko mkoa na sipewi shikamoo na najilia vitoto vya 2000, sina kitambi ,mvi nazificha na super black
 
Hicho ndio kipindi cha mlivyoanza kazi hamkudaiwa kulipia mkopo na mlipata ajira zenye ujira tena unachagua kazi (job security) kizazi hiki mzee wako aliuza shamba unarudi town bado unaomba pesa za kunyolea ndevu - Stress kila kona lazima mtu azeeke..., Maisha yenyewe ya kwenye Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter na Insta) kila mdau akichungulia anaona yeye ndio yupo nyuma (kumbe watu wanaishi fake life)

Pamoja na kuwa na vichache, kubana mikanda na kuwa na less material things back then people were living a genuine happier life..... Na kuridhika ndio furaha na wingi au uchache wa vitu ni perception.....; People are living in a rat race right now..., chasing an illusion

NB:
Kipindi hicho protein was expensive sio sasa hivi broiler wapo wa kutosha, kina Kwashiorkor na Scurvy was order of the day sasa hivi havipo tena..., kwahio hapo constant inabakia maisha ya sasa ni magumu kwa vijana wa sasa kuliko maisha ya vijana wa jana...
 
Dah yaan 90s unaita vizee..sisi wa 80s je [emoji3][emoji3]
 
Dah ya 90 unaita vizee..sisi wa 80s je [emoji3][emoji3]
wa 1980-89 hawana mvi, huwez jua kama ni wazee aisee....

ila wa 1990 dah
ukiviona lazma ushangae na ucheke, mvi zimeanzia kidevuni halafu vimekomaa sura kichizi.

na wa huku mikoani sasa ndio balaa, wachache lakini ambao ni wavivu wameiva sura kwasababu ya pombe chota na visungura hadi huruma
 
Point zako zinaleta maana na zina ukweli
 
Dah haya maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…