Kwa hali ilipofika kwenye Taifa hili kama hawajapiga kelele kuongelea Haki ya Kweli basi watakuwa wamemsaliti Yesu ambaye alikufa ili kutetea Haki.Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
Hana msaada tena analifanya kanisa liishi kwa unafiki kitu ambacho ni dhambiMalasusa nimeanza kumsikia miaka mingi!!!
Ni kwanini sio msaada tena kwa kanisa?
KKKT sio tawi la Chama Cha Kijani, sema hawana mifumo mikali kama Kanisa KatolikiKKKT ni tawi la CCM
Malasusa na kundi lake wanalifanya kanisa liishi kinafiki sanaKKKT sio tawi la Chama Cha Kijani, sema hawana mifumo mikali kama Kanisa Katoliki
BAKWATA labda ndio unaweza sema tawi la Chama Cha Kijani au dola
Kwahiyo unataka Malasusa atetee wahuni?Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
Askofu Shayo kwani yuko wapi sasa?KKKT sio tawi la Chama Cha Kijani, sema hawana mifumo mikali kama Kanisa Katoliki
BAKWATA labda ndio unaweza sema tawi la Chama Cha Kijani au dola
Mifumo ya KKKT ndio inayolifanya lipoe, lakini wapo viongozi binafsi ni moto wa kuotea mbali, mfano Askofu Bang'oza.Malasusa na kundi lake wanalifanya kanisa liishi kinafiki sana
Huyo ni kibaraka wa watawala, anajulikana siku nyingiNi hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
Sio kweli, Kwamba mfumo wa kanisa unazuia watumishi wake wasikemee maovu yanayofanywa na watawala?, Kwamba mfumo wa kanisa unazuia watumishi wa kanisa wasidai haki za waumini wao?.Mifumo ya KKKT ndio inayolifanya lipoe, lakini wapo viongozi binafsi ni moto wa kuotea mbali, mfano Askofu Bang'oza.
Kwani kuna kipindi malasusa alishawahi kuwa MasadaNi hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.