Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Babaako ni Askofu? Kama sio basi ni bahati mbaya sana maana angeliwafaa sana KKKT!Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
Babaako ni Askofu? Kama sio basi ni bahati mbaya sana maana angeliwafaa sana KKKT!Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
Mkunga ni mtu kama wewe, kukumbatia unyasi, halafu utegemee utatoboa!Yani na wewe hapa unajiona umesha comment, ujinga ni mzigo mzito sana.
Sasa kama upeo wako unaushia kuta za ndani ya CHADEMA sijui tukusaidieje.Yani na wewe hapa unajiona umesha comment, ujinga ni mzigo mzito sana.
Ni kweli tupuInawezekana.
Wafanyaje? wamsuse kama jina lake?Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.