KKKT mnapoteza sana muda wenu kuendelea kumng'ang'ani MALASUSA huyo si msaada tena kwa ustawi wa kanisa.

Askofu Malalusa ni mzigo kwa kanisa la KKKT hivi hakuna kipengere cha katiba ya KKKT kumkataa maana anatumika kudidimiza demokrasia hapa nchini kwa kuwa wakala wa upande wa kuwakandamiza wananchi wanyonge.
 
Tatizo la Chadema, hasa chini ya Lisu ni hili. Sasa kwanini ulazimishe mtazamo wako ndo uwe wa kila mtu hata kama unajiona una haki? Jifunze kuheshimu ukimya wa watu
 
Nilikuwa nafikiri kama wewe mwanzo ila kwasasa naamini tofauti. Naona ni kiongozi mzuri na alistahili kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT
 
Tatizo la Chadema, hasa chini ya Lisu ni hili. Sasa kwanini ulazimishe mtazamo wako ndo uwe wa kila mtu hata kama unajiona una haki? Jifunze kuheshimu ukimya wa watu
Uchaguzi wa mauaji na utekaji ndio msimamo wenu?
 
Back
Top Bottom