Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Hawa zamalek tuliwatoa pale Cairo mwaka 2003. Labda ulikuwa hujazaliwa. Tena walikuwa mabingwa watetezi.

Usifananishe Simba na utopolo

Kama uliwatoa, na tena mara moja tu ndio uwashushe kiasi hicho! Zamalek acha kufananisha na Simba na yanga
 
Ahsante kwa taarifa mkuu, hapo namba 5 kwa Mamelody hapana aise, hiyo namba 5 wangemweka Pyramids.
Mamelody wanashiriki clabu bingwa wakati pyramid wapo confederation cup. Hivyo timu zikienda hatua inayouata, point anazokusanya timu ya klabu bingwa ni nyingi kuliko anayeshiriki confederation.
 
Sura yako inafanana na bandiko lako
 
Unambiwa hao wote hua wanaogopa kucheza na Simba [emoji23][emoji23] duniani kuna vituko
 
Kumbe wakati ule ilikuuma sana [emoji23]. Ni kweli juu ya maelezo yake, ila safari ya simba kufika huko iko karibu zaidi kuliko hao wengine uliowataja.
 
Kumbe wakati ule ilikuuma sana [emoji23]. Ni kweli juu ya maelezo yake, ila safari ya simba kufika huko iko karibu zaidi kuliko hao wengine uliowataja.
Hawa jamaa sijui hawaoni aibu ku discuss mambo ya CAf tournaments? wangeacha tu kwa kweli..simba akiingia nusu fainali anakuwa wa 10...baada ya hapo utaona mijamaa inaleta list ya top 5
 
Maneno ya mke mwenza hayo. Chuki chuki chuki tuuuu!!!! Sasa hiyo aya ya pili ina maana gani?!! Wewe umeleta hoja halafu inaingiza viroja!!!!
Shallow minded discuss people[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…