Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

wewe sasa ndo utopolo uliyekamilika nilitaka nishangae utopolo gani wanaojua CAF 5 years ranking system? au chart ya dunia inayotolewa na IFFHS? hapa sasa mimi na wewe tunaweza kuongea nilistuka kidogo mleta mda kujua system halisi..ehee lete story sasa hawa jamaa wanasema simba ya ngapi AFrica? naona azam wako vizuri hapo?
 
Hata wewe unaweza kuanzisha mada hiyo. Kutukana kinaonesha ulivyo mweupe kichwan!! Jibu mada husika huwezi pita hivi hapa sio Facebook.
Simba ana point zaidi ya 23 ndio maana nimeomba mtoa mada atoe na point za Simba
 
Reactions: Exy
yaani wewe wa kunifundisha 5 year ranking system mimi? embu jichape makofi kadhaa kwanza hapo ulipo....saasa kama unajua kuna data official zinatzotolewa na official bodies kwa nini unatuletea matakataka kwamba simba ya 1352 duniani ikiwa chini ya azam? unajua ranks za dunia hutolea naIFFHShttps://www.iffhs.com inayotambulika na fifa? unajua hiyo website uliyotolea mi data yako wenyewe wanakiri wanatumia algorithm ya robot ku calculate rankings zao
imeonyesha hapo utopolo wameshuka na azam kapanda kwa mechi za hadi 3 april embu nipe ukweli wa hilo..mimi leo nikianzisha blogspot yangu nikaandika Mo dewji ni tajiri namba moja africa utaamini blog yangu au forbes?
 
confirmed teams 4 tayari zambia washafeli, nigeria hana team wamebaki wa libya tu na tuko namba 10 kwa points za TFF ambazo ni 30.5 ,mbili za namungo..0.5 za kamati ya mapokezi...simba akiingia nusu horoya na watunisia wanakaa kushoto anakuwa wa 10
 
confirmed teams 4 tayari zambia washafeli, nigeria hana team wamebaki wa libya tu na tuko namba 10 kwa points za TFF ambazo ni 30.5 ,mbili za namungo..0.5 za kamati ya mapokezi...simba akiingia nusu horoya na watunisia wanakaa kushoto anakuwa wa 10
Mkipigwa tena kichapo cha mbwa kolo kama mlichopewa na mume wenu wa Kaizer mtakuwa wangapi?
 
Utawadanganya makolo wenzako wa fb na hapo kijiweni kwako unapovutia bange ila sio hapa JF ambapo GTS wametawala.
 
Utawadanganya makolo wenzako wa fb na hapo kijiweni kwako unapovutia bange ila sio hapa JF ambapo GTS wametawala.
katika points za tff zilizosbabisha TFF kushika nafasi ya kumi afrika..simba kachangia 28..namungo 2...utopolo kamati ya mapokezi 0.5 ..pinga kwa facts
 
na nikaja kukushangaa kama una uelewa wa CAf 5 year rankings basi ungejua kwamba legitimate body inayotoa rankings za klabu na ligi duniani ni moja tu IFFHS iliyoko uswisi mbona unaoneka una uelewa mkubwa halafu ukaenda kuokota ma data ya vichochoroni? hay basi tufanye data yako ni ya ukweli yaani simba afrika ni ya 106? hapo utopolo wameonyesha kwamba wame drop kwa hadi mechi za terehe 3 april zipi hizo?
CAf hihiii iliipa nafsi team iliyoko below 100 kuanzia round ya kwanza badala ya awali? UNAJUA KWAMBA KATIKA HIYO 5 YEAR RANKING HAKUNA TEAM ZAIDI YA 80 ZENYE POINTS utopolo ndiyo ya mwisho namba 79...zilizobaki zote ni pointless akiwepo azam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…