Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hao jama azako wa football database wanatumia ELO RATING SYSTEM algorthm inayotumika kwenye ma games nafikiri utajua ni kwanini sisi wengine tunawaona kituko
hao jamaa zako hawajui hata bIDVEST ya south africa ilishavunjwa ikapotea kwenye ramani ya soccer bado wameiweka kwenye chat kabisaaa tena wanadai baada ya mechi za 3 april imeshuka kwa points 3😀😛🙂 marehemu bidvest kafa 2016 ila huku football database anashika nafasi ya 26


 
Nikuulize wewe na hiyo footbal database yako kwa nini team iliyokufa 2016 ya BIDVEST WITTS bado inashika nafasi ya 26 na inaonyesha kwamba hadi mechi za last week ilishuka kwa points 3...hao source wako wanakiri wanatumia ELO RANKING ALGORTHM ya kwenye magames , tumi akili kidogo basi bwasheee
Sasa kumbe unajua system ya CAF iko fair kabisa ndiyo maana amazulu leo yuko top 30 na ni mara yake ya kwanza kushiriki nataka tu jibu la hii team iliyokufa 2016 ila bado kwenye chanzo chako cha team bora iko number 26
 
naomba nieleweshe ni kwanini bidvest iliyovunjwa mwaka 2016 iko nafasi ya 26 na inaonyesha last week ili drop kwa points 3? wewe ndo ujifunze hutaki kuelewa kabisa unashupaza shingo umeenda tena kwenye li website lako kuleta ma data ya kina mexico nakuambia wanatumia AI artificial inteligence inaitwa ELO ALGORTHM siyo human work kwamba kuna watu wanafatilia kinachoendela kama IFFHS ndiyo maana hata team iliyokufa 6 years ago wao wana i rank tu kabla hujajibu ujeuri wako nipe jibu la kwanini team marehemu inashika nafasi ya 26 kwa mwendo huu kuna siku tutaiona moro utd huku
 
kama ni hivyo basi berkane angekuwepo kwenye top 50 unajua chanzo chako unachokitetea berkane hayupo in 2 years kachukua kombe la afrika na kucheza fainali na ligi ya kwao anafanya vizuri wapi power dyanamos ya zambia
 
naona Utopwolo wanabishana na takwimu
kuna takwimu hapa simba ya 106 ila michezo ya CAf tunaanzia round ya kwanza badala ya awali sijui tumehonga kule cairo? kuna team marehemu tangu 2016 Bidvest wits ya south africa iko namba 26 na inasemekana last wek ili drop points tatu na berkane mabingwa wa mwaka juzi na finalist wa mwaka jana hawapo hata top 50
 
Hujajibu swali langu... Unajua hizo point zinavyotafutwa? Hiyo list ya Mexico na Germany iko FIFA Men's Ranking So FIFA ni ndezi we ndio unajua kuliko wai sio??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eeenhe kweli wewe Chizi Vitabu.
Ulishasema nimeshinda umerudi tena . berkane iko wapi kama kweli chanzo chako kina akili timamu hawastahili kuwa top 50? hadi team marehemu kampita unasema points walizokusanaya tangu ianzishwe unajua mafanikio ya bidvest ni kufika makundi tu mwaka walioitoa azam fc ..ni mafanikio gani na points gani za kihistoria uanzosemea wewe kinabo?
 
Nakuuliza tena... Unajua namna ya hizo point zinavyotafutwa??? Kwenye hii list waliyoitoa FIFA Men's Ranking unaeza nieleza kwanini BRAZIL ya kwanza France w 3 ilhal France kachukua kombe 2018 ikiwa Brazil mara yake ya mwisho ilikuwa 2002?
hilo jibu ninalo sana nataka kabla sijakukujibu ujibu swali langu bidvest anafanya nini kwenye list unasema ni mafanikio ya kihistoria , ana mafanikio gani kwenye ligi ya south africa na CAf ambapo mara ya mwisho aliishia makundi baada ya kumtoa azam? na team ilivunjwa 2016 ila iko juu ya berkane nakuambia li website lako na la kichaa mmmoja mla unga anatumia ELO algorthm ku calculate na ligi ya south africa kaiweka kwamba ni strong basi majibu ndo hayo wkati huko FIFA na IFFHS kuna watu kabisa wanafatilia siyo ma robot elimika basi na wewe
 
Hahaha umemuua kabisa UTO UTELEMBWE.
 
Hivi Kolo mpaka wajisifu ni bora wameshachukua kombe gani
 
[emoji1787][emoji28][emoji23][emoji38] ama kweli na sio Orlando pirates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…