Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Ajabu ni kwamba deportivo de la utopolo a.k.a Nyani a. k. Vyura wa jangwani ndo wenye presha na hii mechi kuliko Mfalme wa nyika SIMBA ....

Simba nguvu moja....ushindi upo wala sina hofu na kikosi chetu
 
AC VITA nao naona wamejipanga, Cha msingi Simba icheze mpira wa kuelewana na kujiamini counter attacks nyingi na mashambulizi ya kupitia pembeni yakipandishwa na mabeki wa Kushoto na kulia.
Hao mabeki wakipanda tu hamsa tayari
 
Kama nawaona vile viroho vinawadunda. Lol

Ila itapita hii mechi kama zile zingine za 5 5 zilivyopita mtani. 😎
Subiri saa 4 uone,We kaa na matokeo yako mfukoni lakini utakacho kishuhudia leo hautaamini na nakuhakikishia usingizi wa leo usiku hautaupata.
 
Simba nguvu moja, Simba lunyasi
IMG-20210212-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom