NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Joseverest mleta uzi njoo basi uhitimishe uzi wako bwashee?
Mtopolo umekimbia mpaka uzi wako!!
Mtopolo umekimbia mpaka uzi wako!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimia mtani..!? Habari za wakati huu?Kwa nini Mtani wakati nasikia mnadai points 6 toka kwa El Merekh ni zenu.
Hana maajabu huyoTabu gani tena kidimbwi wakati Simba kashinda?
Na wote tuseme AmeenWale waliokuwa wanatuombea mabaya qummmmmaaaa nina zenu woteeee
Mkuu agiza K Vant hapo nakuja kulipaleo nisipokuwa makini naaaanza uleviiii
Furaha mpaka imenifanya nikosee mkuu, niwie radhiKwani Simba alikuwa mwenyeji?
Umetepeta kama mate ya mlevi..Hii ndo Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana Simba SC..!Labda kushinda njaa
Tangulia nakuja.Mbona yanga siwaoni humu?
Ngoja niwafate kwenye uzi wao