Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Yaani TRESSOR MPUTU mwenyewe alikiri (baada ya mechi ya Simba vs TP Mazembe kwenye 'Simba Super Cup') kuwa Simba hii ni kiboko na iko tofauti sana vikosi vilivyopita vya Simba vililivyowahi kucheza na Mazembe.

Akaenda mbali kwa kutabiri kuwa kama Simba itarekebisha vitu vichache itaweza kufika mbali sana kwenye michuano hii.LAKINI UTOPOLO WAKABISHA.Yaani unabishana na Tressor Mputu?

MWINYI ZAHERA naye alisema hivyo hivyo,na jana akasema anaipa SIMBA 60% na AS VITA 40% ya kushinda.UTOPOLO WAKABISHA NA KUMTUKANA. Leo mmeona nyie nyani?
 
Kuna muuza utumbo hapa mtaani ni team kidimbwi alisema tukishinda anagawa utumbo wote

Sasa kesho atatoa utumbo wa ng'ombe na wake pia atatoa
Msamehe tu mkuu sahivi tuko uchumi wa kati
#tunatakamabilioneawengiwakitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…