Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Utoo waliiombea mabaya Simba, wote wamenywea.
Ila niwe mkweli kuna huyu jamaa wa As Vita akiitwa Juma Shaaban, jamaa ni fundi sana. Kwa upande mwingine Triple C yuko poa ila natamani angeongeza kasi kidogo yuko slow kimtindo. Tunaheshim mchango wake, ila pamoja na ufundi mkubwa na msaada mkubwa, ingeswihi kama angeongeza masham sham
 
Goli lilivoingia nikaona jamaa mmoja wa utopolo anajibipu kajifanya anaongea na simu kazunguka upenuni huyo akatimka mazima

Now hapatikani naskia kamfata kamisaa achukue hela yake ambayo ali bet na shabiki wa simba
Hahahaaa eti alijibpu dah mbavu zangu
 
Mavi yako , nyie ndio mlikua mnasubiri simba ifungwe goli 5.. ***** zenu
 
Dooh!! Nimejikuta naukumbuka ule usemi wa mtani wangu Ghazwat "mwana kulitaka mwana kulipewa"

Mnalo hilo watani na tumeamua kuwaamshia dude la uzi mapeeema kabisa. Mshindwe wenyewe. 😅😅😅😅

#Ukinunauwenasababu.
Mamamae zako ..naona mlikua mnasubiri kwa hamu kubwa sana tufungwe pumbavu kabisa
 
Bado mnauimba huo wimbo...manina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…