Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Tumeshawazoea kila timu mnayoimini,ikishindwa kuwapa mnachotaka au ikifungwa na Simba mnaichukulia easy, Kwahiyo zile kauli zenu za khamsa,mlikuwa mnaziongea mkiwa hamna vichwa au?[emoji23][emoji23].
Wewe AS Vita wa kuwa na mchezaji first 11 alieachwa na Yanga?

Hiyo team imeisha na msimu ujao Yanga SC inachukua huyo Djuma Shaban
 
Hii inaitwa kwa kimombo shut up shop.

Jamaa wanatangaza mpira fresh huku wakichomekea historia za wachezaji na klabu za Tanzania na Congo bila ushabiki mpaka raha, waliocheza na waliostaafu kama Nonda Shabani n.k. huku watangazaji hawapotezi focus ya matukio na kosakosa za mchezo unaoendelea uwanjani.

Azam TV wajifunze namna ya kutangaza mpira ktk matangazo ya TV mubashara
 
Kinshasa, DR Congo

Mpira umeisha hapa wanja la Stade des Martyrs De La Pentecotè, Kinshasa

Full time results:
AS Vita Club 0 - 1 Simba Sc
Bao Prince Mugala kwa peneti Dakika 59' ya mchezo hapa uwanja wa Mashahidi jijini Kinshasa DR Congo ktk mchezo wa CAF Ligi ya Mabingwa

 
Back
Top Bottom