Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manina zakedakika 4
Huyu refa ana nini lakini?
Daaaah aiseeeh🤔Refa anatuua 4 zote hizo
91'Dk ya ngapi?
Eti simba ndio andredog katika hili kundi, sijui wachambuzi uchwara kesho asubuhi uso wanauficha wapi 😆😆😆😆 this is simbaDah tumekosa goli aisee
Wewe AS Vita wa kuwa na mchezaji first 11 alieachwa na Yanga?Tumeshawazoea kila timu mnayoimini,ikishindwa kuwapa mnachotaka au ikifungwa na Simba mnaichukulia easy, Kwahiyo zile kauli zenu za khamsa,mlikuwa mnaziongea mkiwa hamna vichwa au?[emoji23][emoji23].
zimebaki 2,shika pumbu vizuriDaaaah aiseeeh🤔
Hii inaitwa kwa kimombo shut up shop.