Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Nimeuliza swali sijajibiwa. Nawauliza tena mikia... Kikosi hiki cha simba ...wangapi wazawa!!!??
 
Kwahiyo sisi ndo wababe wa kundi A sio? Hakuna cha Timu ya 3 duniani wala nini.

As Vita huko waliko nadhani hawatendelea kujilaumu kufungwa na Simba.

Nasubiri watu wa kusema Al ahly hii haikuwa kwenye ubora wake ndomaana Simba kashinda.

Nikitoka hapa naenda kwenye page za waarabu kusikilizia😂😂😂😂
 
Wameshinda wameshinda tu
 
Kuwa na Amani Una timu nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…