Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Nimeuliza swali sijajibiwa. Nawauliza tena mikia... Kikosi hiki cha simba ...wangapi wazawa!!!??
 
Kwahiyo sisi ndo wababe wa kundi A sio? Hakuna cha Timu ya 3 duniani wala nini.

As Vita huko waliko nadhani hawatendelea kujilaumu kufungwa na Simba.

Nasubiri watu wa kusema Al ahly hii haikuwa kwenye ubora wake ndomaana Simba kashinda.

Nikitoka hapa naenda kwenye page za waarabu kusikilizia😂😂😂😂
 
Kwahiyo sisi ndo wababe wa kundi A sio? Hakuna cha Timu ya 3 duniani wala nini.

As Vita huko waliko nadhani hawatendelea kujilaumu kufungwa na Simba.

Nasubiri watu wa kusema Al ahly hii haikuwa kwenye ubora wake ndomaana Simba kashinda.

Nikitoka hapa naenda kwenye page za waarabu kusikilizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameshinda wameshinda tu
 
Kuwa na Amani Una timu nzuri.
natamani kuangalia Mpira huu Ila presha itaniua, Mana Kila nikiweka pumzi inakata [emoji3525] so niko nasilikizia nikisikia kelele nje ndo nabadilisha naweka mpira.
Kila la Heri Simba [emoji881] tunawaombea mtupe heshima sie mashabiki.
Usingizi wetu wa leo unategemea matokeo yenu uwanjani
 
Back
Top Bottom