Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Hapo Ndio Mwisho Wao, Hawajitambui Kuwa Wao Ni Wa East Africa Zone Tu, Sio Wakimataifa Kama Wanavyojinasibu Na Kudanganywa Na Mpiga Debe Wao Jerry Murro!!! Wasubirie Sasa Kichapo Huko Misri!!Pumbavu kabisa wanabahati...eti wa kimataifa...
Acha unafiki wewe,utaja olewa hivihivi kwa kujipendekeza kwa Waarabu.Hao ndio waarabu jamani
Huyo Jerry muro anawadanganya sanaNgebe Kibao, Yanga Mpira Wenu Ni East Africa Zone Only!! Sio Wakimataifa Kama Mnavyojinasibu Na Kudanganywa Na Jerry Murro!!!!
Tumaini Secondary School!Tumaini au chuo,
Aliye kuzidi kakuzidi tu huwezi lazimisha maji yapande mlima mtu anapo kuzidii lazima ukubaliane na hali mbn c mnatuita wamchanganyi but hatuja panick but wewe unapanic acha hizo kijanaAcha unafiki wewe,utaja olewa hivihivi kwa kujipendekeza kwa Waarabu.
Tehe! Tehe! Tehe!!! Mwisho Wa Nyodo Na Ngebe Umefika Huo, Mtakuwa Wapore Tu Muda Mfupi Huko Misri!!!Yanga walicheza counter attack moja nzuri sana,ila wamemalizia na shuti dhaifu...
Aaaaahhhhh
Baada ya H/Master kufariki aliletwa H/M mwingine kutoka Mwenge 1998 hivi.Mwaka gan,mimi pia enzi za Hon Shaila
Simpend kama harufu ya choo cha asubuh...kuna wakat alijigamba hata kwa goli la mkono lazima muarabu afee...ssa hata penat ile wamesamehewa...ndi ndi ndiMkuu umenichekesha Sana.Leo sijui atatoa kisingizio gani
Hahahahaaaa sasa aliyepanic hapa kati yangu mimi na wewe nani mkuu?Aliye kuzidi kakuzidi tu huwezi lazimisha maji yapande mlima mtu anapo kuzidii lazima ukubaliane na hali mbn c mnatuita wamchanganyi but hatuja panick but wewe unapanic acha hizo kijana
Walisahau hilo....nmefurahi ndala kuruhusu goli la ugenini kwa waraabu...safari yao imeishia hapoMshabiki wa YANGA walikuwa na viherehere tulipocheza na Mazembe mpaka wakavaa magauni na blauzi za Mazembe
![]()
Kama Ilivyokuwa Wkt Ule Kwa TP Mazembe, Mliponunua Magauni Yenu Na Blauzi Zenu, Mkajipendekeza Kwa Akina Papaa Ya Lumbumbashi!!! So Ni Sawa Sawa Tu!!!Acha unafiki wewe,utaja olewa hivihivi kwa kujipendekeza kwa Waarabu.
Dda angu nifah kuhusu ugenn sahau simsifii mwarabu wala nni ila mmefanya bonge la mistake kupoteza ushind leo....wale jamaa kama uliona dk 15 za mwisho walirelax wakawaacha mtape tape pale kati ila kwenye 18 hamuingii, maana kwao hlo goli moja ni dhahabu....kwan wakiwafanyia undava wa 0 0 marudio mtafanyaje...cha msingi tmu ijipange kule cairo syo.Hahahahaaaa sasa aliyepanic hapa kati yangu mimi na wewe nani mkuu?
Sasa unawasifia waarabu kwa lipi?
Subiri pambano la marudiano ndio upate kuwasifia.
Anyways.....jioni njema.
Kama namuona vileeeee ndi ndi ndi[emoji125] [emoji125] [emoji125]Simpend kama harufu ya choo cha asubuh...kuna wakat alijigamba hata kwa goli la mkono lazima muarabu afee...ssa hata penat ile wamesamehewa...ndi ndi ndi
Tusijipe Matumaini Hewa Humu, Yanga Kuwafunga Waarabu Ni Ndoto Ya Mchana, Tena Tukiwa Njiani Tunatembea!!!! Uwezo Huo Haupo!Hahahahaaaa sasa aliyepanic hapa kati yangu mimi na wewe nani mkuu?
Sasa unawasifia waarabu kwa lipi?
Subiri pambano la marudiano ndio upate kuwasifia.
Anyways.....jioni njema.