Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Taarifa imeandikwa kwa maumivu makali mno
 
Caf wanasoma comment zenu na dharau zenu wanawaongezea adhabu
 
Sawa mr Mwanauto...ni mechi moja ya robo na hii ya kesho kutwa...away utawazuiaje timu nyingine isiwe na mashabiki wake?
Hiyo press umeisoma kishabiki..rudia tena ni mechi moja tu baada ya adhabu kupunguzwa
 
Utopolo akivuka hatua ya makundi nipigwe ban siku 2
 
Reactions: BRN
Mashabiki Bora wa kuvunja viti na kuchoma viwanja vya watu
 
Hii ni habari njema kwa utopolo..ndo maana wamelipa mamilioni yao chap waliyokua wanadaiwa ya usajili ili waje wacheke...nasikia wamelipa jana...labda walishajua kuna adhabu ya mnyama inakuja... 😆
Ni kawaida yenu kwenye utovu wa nidhamu.
 
Wanavyo lalamika utazani ni mara yao ya kwanza kung'oa viti kwa Mkapa. Ila kwenye shirikisho lazima mfanye vituko, South Africa mliota moto katikati ya uwanja na kuharibu pitch ya watu, mkapigwa faini juzi mkang'oa viti.
 
Public statement imetoa ufafanuzi na mwisho imesema ban ipo kwa mechi moja lakini headline ya uzi imeandika mechi mbili.

Sasa sijui source ipi hapo ni sahihi.
 
Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
wataathirika ktk mchezo wa robo fainal. Niseme neno la mwisho kuwa simba safari yake imeishia robo fainal over.
 
Hayo maandishi yapo kisiasa CAF haiwezi kusema tumekufungia mechi mbili hapo hapo tumekusehe moja ni either iwe mbili au moja bila kupindisha maneno
Acha kukurupuka soma hiyo taarifa yote, mwanzo walifungiwa mechi mbili ila baadaye ndio wakapunguziwa adhabu, kwamba itakuwa mechi moja lakini walipe faini ya dola elfu arobaini
 
Hiyo press umeisoma kishabiki..rudia tena ni mechi moja tu baada ya adhabu kupunguzwa
M i mbona nimejibu kuwatetea hao wenye mechi yao kwao? Mm tena nisome kishabiki nimekua chura? 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…