Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Caf ni wapuuz kabisa

Sfaxien ilitakiwa iondolewe kwenye mashindano kabisa,sasa adhabu ya sfaxien mwanzilish wa fujo inafanana na ya simba

Ujinga kabisa,waraabu ni pi mb
Huna akili kwaio mwarabu akivunja kiti nawew kolo ukamua kuvunja ili kumkomoa karia au
 
Adhabu ni ndogo Sana. Hii ni mara ya pili haya mavuta bangi yanaitia aibu nchi
 

Kolo tulia hakuna mwananchi mbumbumbu wakufanya ivo ninyie vijana warage
 
Soma vizuri ni mechi Moja, ya pili tumepewa msamaha Kwa sababu hii ndio mara ya kwanza kutenda kosa.
Mara yakwanza vp nawakat kwenye mashindano hayahaya yalooser mlichoma uchawi kule sauz namkapigwa faini
 
Kanifurahisha hapo... 🤣 🤣 🤣 jinsi anavyotamani adhabu iwe mechi mbili mpk kuchapia..
Wala usiwaze. Tutajaza vibanda umiza na baa zote NJI hii na hasira za kuujaza uwanja tutazielekeza kwenye mechi ya robo fainali. Wakati huo tutakuwa tumebaki peke yetu mashindano ya CAF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…