Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Jambo la maana ni kwamba tayari simba imeshafuzu.
Hivyo Simba ikishinda mchezo wa Jumapili, itaongoza kundi lake na kufanya mchezo wa kwanza wa robo fainali utachezwa ugenini. (Huko hakuna athari yoyote kwa mashabiki wake)

CAF wamefanikiwa kuharibu sherehe tu ya tarehe 19 January
Kufungiwa mashabiki ni pamoja na mechi ya ugenini?si uwanja wako wa nyumbani tu,nikiwa na maana michezo miwili ya nyumbani, hebu nisahihishe ukweli ni upi mana kama ni pamoja na mchezo wa ugenini basi afadhali
 
Wakuu

CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC

==

Timu ya Simba Sports Club imefungiwa michezo miwili na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya vurugu za Benjamin Mkapa mchezo dhidi ya CS Sfaxien. Mchezo wao dhidi ya CS Constantine Jumapili Januari 19 na mchezo mmoja wa robo fainali kucheza bila mashabiki wao.

Soma: CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba
Simba SC pia imetoza faini ya dollars Elfu 40 (TSh. Milioni 101,082,186) na imetakiwa zilipwe ndani ya siku 60.

Simba SC imepanga kutoa taarifa rasmi kwa mashabiki wao muda mchache ujao.
biki
Wakuu

CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC

==

Timu ya Simba Sports Club imefungiwa michezo miwili na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya vurugu za Benjamin Mkapa mchezo dhidi ya CS Sfaxien. Mchezo wao dhidi ya CS Constantine Jumapili Januari 19 na mchezo mmoja wa robo fainali kucheza bila mashabiki wao.

Soma: CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba
Simba SC pia imetoza faini ya dollars Elfu 40 (TSh. Milioni 100,037,200) na imetakiwa zilipwe ndani ya siku 60.

Simba SC imepanga kutoa taarifa rasmi kwa mashabiki wao muda mchache ujao.
Mashabiki wengi wa makolo ni mashabiki maandazi na wengi wamepatikana kipindi kile manara alivyokua msemaji pale aliwashawishi mashabiki wengi sana hasa wadada kuna jamaa yangu mmoja ofisini miaka iliyopita nilikuwa simuonagi kujishughulisha na mipira alikua hajui chochote lakini ghafla nikaona yupo kwa makolo tena mkibishana kuhusu mpira anabisha haswa. Siku hizi kila timu lao likicheza lazima aposti mtandaoni huwa nacheka. Mi nimefurah kama makolo wamefungiwa ili hawa mashabiki wao wa kuanzia juzi juzi wafunge midomo yao
 
Caf mmejua kutuwezaa aisee

Kazii tunayooo simbaaa

Swali walishaanza kata tkt??

Vipi WALIOKATA TKT tunapataje pesa zetuuu
 
Yaani kama kulogaaaaaa wazee WA vibandaa mnajua kulogaaa
 
biki

Mashabiki wengi wa makolo ni mashabiki maandazi na wengi wamepatikana kipindi kile manara alivyokua msemaji pale aliwashawishi mashabiki wengi sana hasa wadada kuna jamaa yangu mmoja ofisini miaka iliyopita nilikuwa simuonagi kujishughulisha na mipira alikua hajui chochote lakini ghafla nikaona yupo kwa makolo tena mkibishana kuhusu mpira anabisha haswa. Siku hizi kila timu lao likicheza lazima aposti mtandaoni huwa nacheka. Mi nimefurah kama makolo wamefungiwa ili hawa mashabiki wao wa kuanzia juzi juzi wafunge midomo yao
Shabiki anakuwaje mandazi
 
mechi 3 za mwisho za nyau hazina mvuto kabisa kama wanacheza msibani
 
Kitumbua kimeingia mchanga, Jumapili wakae kwa kutulia majumbani au wakabanane vibanda umiza.
 
Kwaiyo ripoti ya polisi ilisema mchome ndio kavunja viti? Mashabiki wenu awajielewi kwani ni mara ya kwanza kuvunja viti? Tulieni dawa iwaingie na iyo ni rekodi nyingine ya ovyo mmeiweka baada ya Ile ya kuchoma moto uwanja kule afrika kusini Tena kwenye michuano iyo iyo ya wakina mama sijui uwa mna matatizo Gani nyie watu!
Endelea kuuumia ila haitafanya kutoa ukweli kuwa sisi ni mashabiki bora..sasa kama ww unaangalia rekodi za mioto sijui nini ww hapo uumie mpk uongezewe drip....
Soma unielewe kuhusu mchome acha kukaza fuvu...
Michuano ya kina mama mliostaafu kwani mboa mlihenyeka na nyie sana tuu?
 
Back
Top Bottom