Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Pasaka atailia kwao hiyo. Mtafute kocha mzuri halafu aje afundishe wastaafu. Mnataka awavunje viuno?

Akitaka abaki hadi pasaka, dirisha dogo atoe wazee ote na uongozi umsikize.la sivyo wazee wa asilimia 10 watamtoa kafara.
 
😂😂😂
 
Huyu kocha akifukuzwa kisa hajui mpira basi team apewe yule jamaa wa saluti
 
So maoni yako ni yapi?

Kocha mbovu hafai au Simba imepata mtu sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…