hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tuKuna hawa wahaya naona wanazo
Kikubwa ni timu ifanye vizuri, ikidorora jezi itakuwa hasarahiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu
kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
Yanga wanakula ngapi kwa sasa?Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Amber ruty ndo anajuaYanga wanakula ngapi kwa sasa?
Chini amber rutty juu sanda.Acheni upumbavu kuharibu brand za watu. Hii ni biashara sio ushabiki wa Simba na Yanga
Tafadhali tuache Mjukuu, tupo busy kujiandaa na mechi hapa Zanzibar π€Hilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Akili za matako kama zenu ndio inaona hivyoChini amber rutty juu sanda.
Muwe mnaabgalia na contextual meaning yanajina ya wafadhili wenu,acheni ujinga
Mwanangu nimeuliza serious ili nifanya comparison πAmber ruty ndo anajua
Pesa kiduchu mno
Mbumbumbu mmeliwa
38 hawa Kwa 5 ni billion 7
Bado sana mkuu.Sio mbaya Kwa Club
Bilioni 38 ni wastani wa shilingi 7.6 bilioni Kwa Mwaka
Ukiongeza na mapato mengine ya Club, tukiamua tunaweza kuendelea kukimbizana na timu za Waarabu katika CAF rankings miaka 5 ijayo
Pia kuna mijitu inajua sana kupiga hesabu ya hasara ya Aziz Ki.Bongo kuna mijitu ina hela halafu ipo kimya tu
Ulivyoandika.utadhani.kila.mtu anaifahamu jaruttyKampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
View attachment 3306546
Sina uzoefu nazoBado sana mkuu.
Kwa sasa unajua mikataba ya jezi wka zile top 3 za caf?
Amber RutyMwanangu nimeuliza serious ili nifanya comparison π
Anway na sisi tuwe makini basi mkataba mpya tupate mpunga mnene.
Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.Tafadhali tuache Mjukuu, tupo busy kujiandaa na mechi hapa Zanzibar π€
Mfyuuuuuu, Hebe nendeni Muungano kapu tuna kazi ya kimataifa sisiMmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.
Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.