Si nimeshasema atasema hana uthibitisho ili kesi iishe? Kwani lengo si ni hukumu itoke, au lengo la kesini nini: ni hukumu au malumbano? Kwani ni lazima athibitishe? Atakubali na hakimu atamuhukumu. Lakini utashangaa kama faini yake itafika 1M 😀Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.
Si nimeshasema atasema hana uthibitisho ili kesi iishe? Kwani lengo si ni hukumu itoke, au lengo la kesini nini: ni hukumu au malumbano? Kwani ni lazima athibitishe? Atakubali na hakimu atamuhukumu. Lakini utashangaa kama faini yake itafika 1M 😀Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.
Kwanza BMT hakuna timu inaitwa Yanga..Je, Ahmed Ally anaweza kuithibitishia mahakama kuwa Yanga wamekuwa wakimchoma sindano Pacome ili acheze?
No balance.Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10
Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇
“Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba”
“Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”
Soma Pia: Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba
Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini
Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)
1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake
2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)
Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi
Credit _ @cloudsfmtzView attachment 3167601
Mnaoargue humu wengi hawajui sheria na ni malaymen sasa msubiri mtaona na mnaoendelea kuropoka yatawakuta.Kweli utopolo ni vilaza na huyo mwanasheria wao nae pia ni kilaza hapo kashfa iko wapi? ndo maana hawajawahi kushinda kesi yoyote, Ahmedy asiombe radhi aache hiyo defamation iende mahakamani ili ikatupiliwe mbali alafu Ahmedy awadai tena fidia Billion 10 za kumsumbua maana huyo mwanasheria wa yanga ni zaidi ya kiazi
Kumahkibuyu wewe,, shoga ako ali kamwe ashalipa fidia ya bilioni 5 kwa kuichafua kampun ya sandaland..ubaya ubwela kumaamayoh zenu nyie.Unaipanga Yanga yupi wa kushitaki na yupi wa kuacha
Yanga tunaanza na Ahmed Ali liwe funzo Kwa wachambuzi na wajinga wengine
Naona bado umechanganyikiwa. Ulipata connection ya pesa za mauza uza.Kumahkibuyu wewe,, shoga ako ali kamwe ashalipa fidia ya bilioni 5 kwa kuichafua kampun ya sandaland..ubaya ubwela kumaamayoh zenu nyie.
Mdada mzuri hapo hakuna kesi. Lini Yanga akashinda kesi? Kwanza hawana mwanasheria. Nani sasa kaandika ."Demand Note*?Amezidi nae kawa kama msemaji wa Yanga
bola wao, huku kwetu kila mtu ni Mbu mbu mbu.Utopolo wenye akili ni wawili tu