Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.
Si nimeshasema atasema hana uthibitisho ili kesi iishe? Kwani lengo si ni hukumu itoke, au lengo la kesini nini: ni hukumu au malumbano? Kwani ni lazima athibitishe? Atakubali na hakimu atamuhukumu. Lakini utashangaa kama faini yake itafika 1M 😀
 
Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.
Si nimeshasema atasema hana uthibitisho ili kesi iishe? Kwani lengo si ni hukumu itoke, au lengo la kesini nini: ni hukumu au malumbano? Kwani ni lazima athibitishe? Atakubali na hakimu atamuhukumu. Lakini utashangaa kama faini yake itafika 1M 😀
 
Je, Ahmed Ally anaweza kuithibitishia mahakama kuwa Yanga wamekuwa wakimchoma sindano Pacome ili acheze?
Kwanza BMT hakuna timu inaitwa Yanga..
Huwa sijui kwa nini ukiwa Hiyo Yanga Mtu anakuwa na uwezo mdogo wa kifikiri
 
Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇

“Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba”

“Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”

Soma Pia: Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba


Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini

Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)

1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake

2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)

Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi

Credit _ @cloudsfmtzView attachment 3167601
No balance.
Yule aliongelea Taasisi mshirika wa Simba.
Huyu kaiongelea Young Africans mtani wao.
 
Kweli utopolo ni vilaza na huyo mwanasheria wao nae pia ni kilaza hapo kashfa iko wapi? ndo maana hawajawahi kushinda kesi yoyote, Ahmedy asiombe radhi aache hiyo defamation iende mahakamani ili ikatupiliwe mbali alafu Ahmedy awadai tena fidia Billion 10 za kumsumbua maana huyo mwanasheria wa yanga ni zaidi ya kiazi
Mnaoargue humu wengi hawajui sheria na ni malaymen sasa msubiri mtaona na mnaoendelea kuropoka yatawakuta.
 
Simba Nao watafute kauli za Ali Kamwe alizoongelea Simba vibaya nao wamshtaki.
 
Azam wamtaka Ally Kamwe kulipa bilioni 10 kwa kuichafua
"Azam walikuwa wanapunguza mwanga kila wakati Dube akikaribia goli "
 
Nadhani matamshi ya msemaji wa Yanga na ya msemaji wa Simba yote ni katika hali ya utani. Ni bora kila upande usamehe na maisha ya soka yaendelee.
 
Unaipanga Yanga yupi wa kushitaki na yupi wa kuacha
Yanga tunaanza na Ahmed Ali liwe funzo Kwa wachambuzi na wajinga wengine
Kumahkibuyu wewe,, shoga ako ali kamwe ashalipa fidia ya bilioni 5 kwa kuichafua kampun ya sandaland..ubaya ubwela kumaamayoh zenu nyie.
 
🤣🤣🤣.ila GSM.
Hela za jezi hazitoshi kuendeshea timu?
Au anataka hela za kuwajengeq uwanja utopolo kupitia Ahmed ally?
 
Sema bongo bwana, yaani msemaji wa timu A Yuko bize kuizungumzia timu B? Dah
 
Back
Top Bottom