Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

Kwa hiyo ile ishu ya Chama na Pacome nani mkali bado mtaendelea kusema Pacome?
 
Usajili-mashabiki-wa-yanga-sc-wachoma-jezi-ya-niyonzima-video-06-2017/ Kuondoka kwa mchezaji Haruna Niyonzima ndani ya klabu ya Yanga SC, kumeonyesha kuwaumiza mashabiki wa klabu hiyo ambapo moja kati ya kundi la mashabiki wameamua kuchoma jezi ya mchezaji huyo.
 
Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.

Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
Pesa iko mingi mkuu acha wajichotee mihela hapa bongo. Tanzania kuna pesa hadi zinamwagika.
 
Makolo mwezi wameuanza kwa maumivu, hahahah
Akili za kipumbavu hizi. Ushabiki.mwingine wa maandazi kweli. Simba inaumia kwa facts zipi? Mchezaji amekaa simba miaka 7..bado unataka uendelee kumshikilia huo ni ubinafsi, hivi mnajua mpira nyie au ushabiki maandazi..grow the fuckk up!
 
Sasa hapo ime prove vipi wakati mkataba umeisha na mmembembeleza kwa ela ndogo akaikataa kafuata maslahi sehemu nyingine.
Unaweza kutuambia hela ndogo ni shilingi ngapi aliyotakiwa kupewa , na yanga waliyompa ni shilingi ngapi
 
Lina raha sana muhimu usiwe na hasira soka la TZ halitaki hasira kabisa
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…