mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
HATUNA BIFU NAE.Ila mkifungwa na Chama itauma km pin imepigwa kwenye Puto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HATUNA BIFU NAE.Ila mkifungwa na Chama itauma km pin imepigwa kwenye Puto
Na waliokuwa wanasema kila Kocha anayekuja pale Msimbazi lazima aingie kwenye mfumo wa Chama watasemaje sasa?Sasa wale mashabiki waliokuwa wanatokwa na mishipa ya shingo kumpigia kelele kocha kuwa kila mechi lzm chama acheze dkk 90, watasemaje sasa hv
Yanga sisi ni washindi kila sekta, kwenye boli, makombe, kumlaani mtani asicheze champions league aende akacheze loosers cup na ikawa, kamati ya ufundi, usajili wa maana, mashabiki lia lia tunaobweka, fitna za nje ya uwanja , gwaride la ubingwa dunia nzima hawatufikii, kukomoana na mtani na yoyote anaetaka ugomvi tuko tayari, pesa ya usajili ipo, ukileta ujuaji na kiburi kwa mwananchi tutakukomesha kwa jeuri ambayo ni next level, ona sasa Azam walimchukua Feitoto wakajisiiiiiifu kuwa wao wajaaaaanja, tumelipa kwa Dube, yani tumepiga Azam pale panapouma zaidi, sasa kwa hawa kolos aka simba mzee tumeamua tu tuwaonesha jeuri na kuwa mziki wao mdogo sana wa kitoto na haubambi, Yanga hii ina masifa mno kwasasa ni uonevu na vipigo tu kwa underdog wote kama my wetu Simba, Azam, Singida big stars, Ihefu , hatuangalii sura, hatucheki na kima!!Tutafanyaje ila viongozi wetu ndio wameamua, sijajua huu usajili ni wakiufundi au kumkomoa mtani.
kaenda kama free agentMpira wa bongo bwana 🤣🤣🤣
Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.
Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? 🤣🤣🤣 Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
Sipo hivyo, Chama katumika sana hapa Simba Hana jipya kwetu, labda kwenu.
😂Hahahaha 😂😂😂 mpuuz weye,,rejea kwenye mada husika tafadhal,,yanga bingwa tena kwa usajili huu
Dah, nguruwe tena?!!! Yaani uto tunapenda kitimoto? You must be kidding me 👉!!Yah:MWALIKO
Baada ya CHAMA kuondoka Simba Napenda kuwaalika wanaSimba woooote kujumuika pamoja leo Pale Tabata Kiwanja ni The Great kufurahia Chama kuondoka Klabuni na kwenda Uto.
Mpira ni burudani, Mpira ni furaha, Mpira ni ajira haina hajja kujengeana chuki wala kuwekeana mtima nyongo.
Chama aende tuuu na abebe na Nguruwe wake kabisaaaa maana huenda pia ndicho kitu pia wamekitamani Uttopolo.
Bado hamjasemaHuo usajili hata mimi sijaufurahia hata kidogo ndio maana nikasema ni mkosi
Sipendi tabia ya kuchukua wachezaji wa Simba napenda newcomers kama Guede
Hahahaaa. LolUlikua unalea
Sizitaki mbichi hizi. 😀😀
Uwa nafurahi sana swahiba mikia wakiwa kwenye maumivu 😃Sizitaki mbichi hizi. 😀😀
Tutasikia mengi sana Swahiba.
Na haya maumivu waliyoyapata this time yatawaisha kwa taabu sana. 😅😅Uwa nafurahi sana swahiba mikia wakiwa kwenye maumivu 😃
Halafu hiki ni kisasi cha niyonzima,bado tunatafuta wa kulipa kisasi cha morissonNa haya maumivu waliyoyapata this time yatawaisha kwa taabu sana. 😅😅
Mikosi ki vipi na mlikua mkimtaka kila msimuMikosi...!
Umeamkaje kwanza mama maana hatujasalimiana.Chama atatuvunjia heshima bure.Sio kweli! Huyo kazeeka hana jipya Eng. Amevurunda kamsajili bila kutushirikisha bora angemuacha tu Guede
Good morning Ephen.Mimi ni Kolo bwana,Nipo good oscar!
Wewe ni kolo?
Huna namna itakubidi tu utupende.Good morning to you too!
Siwapendi Makolo
Sasa chama ndio mmemtambulisha kwa picha za Infinix ? Ila Yanga.Waongo sanaa.Acha tuone😂