mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Simba inataka kucheza na Yanga, tarehe 15 June 2025Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
because you are not smart enough to realize what is going on behind the curtainSeen and ignored
Basi Yanga wapeleke dabi Tabora badala ya KMC ili kusiwepo malalamikoKiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Simba wanaharibu ligi, kisa hilo kombe la bati ndo linawatoa utu, marushwa kila konaBasi Yanga wapeleke dabi Tabora badala ya KMC ili kusiwepo malalamiko
Simba au GSM? Watoto wa watu mmewapa maahadi yanawazidi umri, wanataka kufia uwanjaniSimba wanaharibu ligi, kisa hilo kombe la bati ndo linawatoa utu, marushwa kila kona
Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Unaposema KMC hakuwa na sababu zenye mashiko za kuhama uwanja kisa tu ana uwanja wake Dar, unamaanisha nini? Uwanja wa KMC na ule wa Ali Hassan Mwinyi unalingana kwa ukubwa?Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.
sana , simba ni timu ya hovyoHili tukio lingekuwa linaihusu klabu ya Yanga, hizo kelele zake zingekuwa siyo za dunia hii.
Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.Hili tukio lingekuwa linaihusu klabu ya Yanga, hizo kelele zake zingekuwa siyo za dunia hii.
Ligi ilipoteza uhalali pale mtu mmoja alipoamua kudhamini vilabu zaidi ya saba ambavyo kiuhalisia walipaswa wawe washindani wake.Hii ni rushwa ya wazi wazi, tuseme tu ukweli tanzania hakuna ligi
KMC siyo timu au mali ya mtu binafsi useme atafanya kile anachokita kila anapojisikia. Ile ni timu ya halmashauri na inasimamiwa na mkurugenzi na madiwani.Unaposema KMC hakuwa na sababu zenye mashiko za kuhama uwanja kisa tu ana uwanja wake Dar, unamaanisha nini? Uwanja wa KMC na ule wa Ali Hassan Mwinyi unalingana kwa ukubwa?
Vipi ikitokea kwamba walifanya hivyo ili kupata fedha nyingi kupitia idadi kubwa ya mashabiki watakao jitokeza kutazama huo mchezo?
Vp wale waliopanga kikosi dhaifu??Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.