KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.

Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.

Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Kwa hiyo, simba, kule cafcc wanabebwa na caf?
 
Hebu acha kupotosha huo msimu yanga alikuwa bingwa wa michuano gani, simba amechukua ubingwa misimu minne mfululizo kuanzia 2018 mpaka 2021, sasa wewe ni ubingwa gani unaoongelea ambao huo mwaka yanga alichukua kabla mashindano hayajaisha
Nimechanganya mafaili ya mwaka. Mwaka 2020 kweli Simba ndie alikua bingwa.
Ila huo mwaka tunaouzungumzia YANGA alikua tayari keshatangaza Ubingwa aliwaomba wacheze Dar kunogesha kukabidhiwa kombe akiwa nyumbani na Yanga walikubali kuwagharamia. Ilikua ni kipindi cha MANJI
 
Unanikumbusha Ndanda FC walikujaga wenyewe ghettoni kwa Mkapa kutoa zawadi kwa Bingwa wa Ligi Kuu Bara..
 
Usishahau haya;
1. Shirikisho la wakati wa Yanga ilikuwa inahusisha waliotolewa kwenye CCL kuingia CAFCC
2. Shrirkisho la wakati huu wa 51mba, hakuna anayetoka CCL kuja CAFCC
3. Timu zilizobaki hadi fainali kwenye CAFCC, zote ni za tatu kwenye ligi yao iliyowapeleka kwenye kombe la CAFCC la sasa..!!!
Usisahau kama lile la 1993 fainali ni la abiola ungeingia wewe au ungeingia hata lile la buza


Nikikumbuka Rais wa Yanga alivyovaa jezi ya Kaizer chief wakati wanacheza na Simba....... tena kwa kiongozi mkubwa wa timu.
 
Back
Top Bottom