Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,160
- 7,702
Haujifichi!sana , simba ni timu ya hovyo

😂😂😂😂😂Kmc nadhani waliulizwa kiasi wanachotarajia kupata wakicheza tabora wakataja
Simba wame clear kiasi chote na kuwaachia mapato Yao.
Penalty fc kwa Sasa wamedhamiria kuua ligi ya nbc
HatucheziKmc nadhani waliulizwa kiasi wanachotarajia kupata wakicheza tabora wakataja
Simba wame clear kiasi chote na kuwaachia mapato Yao.
Penalty fc kwa Sasa wamedhamiria kuua ligi ya nbc
Chomoa kwanza huo mwikoKiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Ohhh hatuna imani na bodi ya ligi pamoja na TFF hivyo hatuchezi na Simba.Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Ile mechi Yanga alikua tayari Bingwa aliomba ili akabidhiwe kombe lake Dar.Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.
Ikiwa mnaona KMC hawajawatendea haki nyie Utopolo.Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho kinaonesha tabia za hovyo za viongozi wa africa ambao wanaendeshwa kwa rushwa na magumashi, KMC masuala ya simba na fainali ya kombe la shirikisho inawahusu nini, inafahamika kuwa lazima kama kawaida simba na bodi yao ya Ligi wamewaambia kmc kurudisha mechi dar, sasa kama hilo linawezekana basi ni dhahiri hata wakiambiwa wapoteze gemu watapoteza, hizi ndo timu ambazo zinapaswa kushuka daraja, mambo kama haya huwezi kusikia nchi nyingine.
Na kwa taarifa yenu KMC hata kama mtaamua kumpa Penzi simba tarehe 11/05/25 alifaidi lakini ujue simba hana ujanja wowote wa kumfunga berkane, hata mechi zote mbili zikichezwa hapa tanzania, hiyo timu ya simba ni dhaifu sana na ipo hapo ilipo kwa sababu ya rushwa , marefa, na uongozi mbaya wa TFF.
Hata kama watapewa ndege bure hawataweza kumfunga berkane, kwani marefa wa CAF sio kama kefa kayombo, na mnajua nyie bila upendeleo wa refaree hamuwezi kushinda mechi yoyote
Hawa watakuwa wakisikia hata Bundi analia tu wanajua ni Simba, Bodi ya Ligi au CAS.Ile mechi Yanga alikua tayari Bingwa aliomba ili akabidhiwe kombe lake Dar.
Matokeo hayakua 2-0
Ni 3-2 tarehe 27 Juni 2020.
Magoli ya YANGA 2 Deus Kaseki 1 Mrisho Ngassa