KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

Kmc nadhani waliulizwa kiasi wanachotarajia kupata wakicheza tabora wakataja
Simba wame clear kiasi chote na kuwaachia mapato Yao.
Penalty fc kwa Sasa wamedhamiria kuua ligi ya nbc
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpaka gsm aiache michepuko na abaki na mke wa ndoa (Yanga)
ndo mtaacha kubweka.
 
Kule Simba anakwenda kama Simba pekee au kama Tanzania pia ? Yaani wanasema Simba from Tanzania au Simba from Msimbazi ?

Nadhani jibu lipo hapo kwa Timu za Tanzania kupeperusha Bendera Afrika Vema italeta tija kwa Timu zote Nchini
 
Mleta mada jitie dole halafu unuse uounguze jazba, hii simba itawatesa sana, hii simba mtatoa matamko kila uchwao.

ULIVYOAMBIWA UBAYA UBWELA WEWE HUKUELEWA???
 
Wawili tuu kwa kweli ni Wawili tuuu
 
Chakushangaza kuna majitu yanalaumu mechi kurudishwa Dar, utafikiri yenyewe yatafurahia tu timu yao ikiambiwa ikachezee sokoine Mbeya mechi iliyopaswa kuchezewa Dar. Unafiki tu.
 
Chomoa kwanza huo mwiko
 
Ohhh hatuna imani na bodi ya ligi pamoja na TFF hivyo hatuchezi na Simba.

Utadhani bodi ya ligi na TFF wanasimamia Simba pekee.

UKisema huna imani na TFF manake unatakiwa ususie mechi zote za ligi kwasababu zote zinasimamiwa na bodi ya ligi pamoja na TFF.

Tukisema uongozi wa Yanga ni magumashi matupu muwe mnaelewa basi.
 
Afadhali hii. Kuna Ndanda vs Yanga mechi ambayo Yanga walikuwa waifuate Ndanda huko Mtwara lakini wakagharamia kuwaleta Dar na kisha kuwafunga 2-0. KMC ana uwanja Dar na hakuwa na sababu za kuhama uwanja zenye mashiko.
Ile mechi Yanga alikua tayari Bingwa aliomba ili akabidhiwe kombe lake Dar.
Matokeo hayakua 2-0
Ni 3-2 tarehe 27 Juni 2020.
Magoli ya YANGA 2 Deus Kaseki 1 Mrisho Ngassa
 
Ikiwa mnaona KMC hawajawatendea haki nyie Utopolo.

Pelekeni Tabora mechi yenu ya June 15 tukwanyooshe hukohuko mbulukenge nyie
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile mechi Yanga alikua tayari Bingwa aliomba ili akabidhiwe kombe lake Dar.
Matokeo hayakua 2-0
Ni 3-2 tarehe 27 Juni 2020.
Magoli ya YANGA 2 Deus Kaseki 1 Mrisho Ngassa
Hawa watakuwa wakisikia hata Bundi analia tu wanajua ni Simba, Bodi ya Ligi au CAS.

Hebu ona sasa wameachana na waamuzi wamegeukia KMC tena.

Hizi sinema zao hizi sijui watakamilisha lini kushuti, na tutaona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…